Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Dogo, mbona hii ziara sio siri?pia DRC inakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee tukubali tu kwa sasa chadema na ccm sote tunalia.😅😅😅Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji
Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.
Mother anawamix mix, upande huu wanashangilia Mbowe kukamatwa huku wanalia na chanjo, upande mwingine wanashangilia chanjo huku wanalia na Mbowe kukamatwa!! Hakika anaupiga mwingiSukuma gang,Mataga,Bavicha sasa lugha ni moja tu.
Kwahiyo amuige Magufuli?Magufuli.
Sisi tuliowahi kuishi Visiwani tunazijua sifa za wananwake wa kule. Aisee wanapenda kuzulula huwezi jua kama ni wanawake wa kiislamDaaah safari ya Rwanda tena yaani basi tu huyu Maza anapenda sana kuzurula au ndo anatafuta wawekezaji kutoka mkoa wa rwanda
Wapiga kura gani? Hawamtishi wala hawahitaji ili kutimiza azma yake ya kutawala Tz milele. Wala hataki kusikia kabisa ya KATIBA mpya.Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji
Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.
Ni vyema akafanya hivyo kwani sio jambo baya after all kuwatembelea zaidi wanaomweka madarakani kuliko wasiompigia kura.Kwahiyo amuige Magufuli?
Tutarajie safari yake kuanza kulindima mizoga ya binadamu baharini.Kagame ni miongoni mwa Marais wajanja sana katika ukanda huu!
Duh wewe unaupiga mwingi kwa matusiRais gani alienda kila sehemu kabla ya kwenda nje? Kwa ukongwe wako humu JF sikutegemea kama una upumbavu mwingi hivi
Kwani alipigiwa kura?Ni vyema akafanya hivyo kwani sio jambo baya after all kuwatembelea zaidi wanaomweka madarakani kuliko wasiompigia kura.
[emoji28]Anaenda kupata short course
Sisi tuliowahi kuishi Visiwani tunazijua sifa za wananwake wa kule. Aisee wanapenda kuzulula huwezi jua kama ni wanawake wa kiislam
Baada ya ziara hii tutashuhudia maiti nyingi sana kwenye viroba. Keep eyes open.