kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Safari hazina maana yoyote ni ubadhilifu tu. Huyu mama anapenda kutumbua tu. Haina ulazima.. eti unazungukia majirani kuwaambia mimi ndio rais wa tanzania 😂😂. Washauri wake bila shaka sio wale wa magufuli.
Tena asijeleta issue ya waasi wa mozambique kwa kagame. Huyu ni kama mamluki anatafuta maslahi tu. Akiingia mozambique basi tutegemee hali kua mbaya zaidi maana wao wataenda tafuta kuiba madini na gesi ya mozambique. Mara ngapi wamejidai kusaidia congo.
Badala ya hali kua nzuri congo rwanda ndio inaneemeka huku congo ikigeuka dhiki na makaburi tu.