Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

Ni muda mrefu sana umeonesha chuki binafsi na kumtukana Rais wako matusi mbalimbali, una shida gani?
Shida yangu ni hii hapa.Alikiri mwenyewe kuwa yeye ni mwizi wa demokrasia yetu na ni dikteta.Hafai kuwa Rais wa nchi yetu,labda akawe Rais wa familia yake.
7nbv654311.jpg
 
Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji

Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.
Wateule wake siwapo pale
 
Sawa ila acha basi kumtukana sio vizuri
Yeye ni vizuri kupora demokrasia yetu?Halafu unajua tofauti kati ya kumtukana mtu na kuongelea facts juu ya mtu?Hivi kama kuna mwizi ameiba simu kisha baadae akapita kwenye eneo langu kisha nikawaambia watu kuwa kibaka amepita hapa, nitakuwa nimemtukana huyo mwizi wa simu kwa kumwita kibaka?

Mimi simtukani Mama bali namwita majina ambayo ni stahili yake kwa sababu mtu ambae anaweza kutangazia uma waziwazi tena bila aibu kuwa ni mwizi wa demokrasia yetu huyo sio punguani?Unataka mtu kama huyo nimwite kuwa ni mwerevu?
 
Ndio maana nasema mimi na wewe kuendelea kurumbana wakati wanufaika ni wengine tunapoteza energy bure. Wanachadema na wanaccm tupendane tu
Hawawezi kuwa pamoja kwa sababu CDM wanafurahia msiba wa JPM wakati hao mnaowaita Sukuma gang wanahuzunika.
Watawasapoti vipi watu wanaoshangilia msiba?
 
Aende tu akafuliwe kuishi kidikteta.
Ila asisahau mwenda zake alipigwa parefu kiukwasi na huyu jamaa na waliishia kuhasimiana.
Kagame
Hakuhudhuria sherehe ya kuapishwa Magu wala mazishi yake
 
Ndio ashakuwa Rais..
Hata ubishe.
Suala la mtu aliezoea kukanyaga kanyaga na kubaka katiba yetu pamoja na sheria zetu kuwa Rais ni suala la aibu ambalo linapaswa kupingwa na kila mwenye pumzi.

Ni punguani peke yake au kichaa ndiye anaweza kufurahia kuona Rais akivunja katiba,sheria na kuonea watu.Kama upo katika kundi hili nakushauri kuwa uwahi mirembe haraka sana ukafunguliwe file la kudumu kwani siyo hali ya kawaida kwa binadamu ambae ni mzima kufurahia kitendo cha katiba na sheria za nchi kuvunjwa ovyo ovyo na watawala.
 
Yeye ni vizuri kupora demokrasia yetu?Halafu unajua tofauti kati ya kumtukana mtu na kuongelea fact juu ya mtu?Hivi kama kuna mwizi ameiba simu kisha baadae akapita kwenye eneo langu kisha nikawaambia watu kuwa kibaka amepita hapa, nitakuwa nimemtukana huyo mwizi wa simu kwa kumwita kibaka?

Mimi simtukani Mama bali namwita majina ambayo ni stahili yake kwa sababu mtu ambae anaweza kutangazia uma waziwazi tena bila aibu kuwa ni mwizi wa demokrasia yetu huyo sio punguani?Unataka mtu kama huyo nimwite kuwa ni mwerevu?
Swadaktaaa
 
Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji

Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.
Rais gani alienda kila sehemu kabla ya kwenda nje? Kwa ukongwe wako humu JF sikutegemea kama una upumbavu mwingi hivi
mtu mwenyewe anajiita stroke ulitegemea nini mkuu?

Sent from my M2101K7AI using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom