Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

Kwanini asiwakaribishe hapa baada ya kila siku kuzungukia madikteta. Aende hata Ulaya basi.
 
Ukimuona punguani fulani anazurura kwenye hizi nchi masikini za Afrika mashariki kama nchi zake kuu za wahisani jua kuwa hamna Rais humo.
Rais Anafunguaa Milangoo ya Demokrasia wewe anatakaa kurudisha mahusiano mazuri na nchi jiranii ,,Maana ukiangaliaa nchi kama Rwanda inatutegemea sana katika sector ya usafirishaji kwa Upande Wa Bandari kwa hiyo pakiwepo mahusiano mazurii wataendelea kutumia Mandarin yetu Dar es salaam ilaa kama mahusiano mabaya watatumia Kenya bandari ya mombasa
 
Hivi kweli cvd19 ipo!!?? Mbona matembezi yanakuwa mengi kwa mama!!?! Je coranya haipo uko huandako,? Nadhani ingefaazaidi kutulizana makwetu ili udumu na sisi
 
Rais Anafunguaa Milangoo ya Demokrasia
Mtu ambae alitangazia uma waziwazi tena bila aibu wala soni usoni kuwa yeye ni mwizi wa demokrasia yetu na ni dikteta hana moral authority ya kufungua milango ya demokrasia,labda akafungue milango ya demokrasia kwenye familia yake.Period.
7nbv654311.jpg
 
Watz jingaz sana, Magu alikuwa hasafiri wakasema ni mshamba, hajui kiingereza na anaogopa kupanda ndege moyo utapasuka!! Huyu anasafiri wanasema hajaenda Mbeya, Arusha and anatumia vibaya mamlaka. Njia inayofaa kuongoza nchi hii ni undavaundava kama wa Magu, watu wasiojielewa kama hawa ni kuwapelekesha kiubabe ubabe hadi akili ziwakae sawa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ukimuona punguani fulani anazurura kwenye hizi nchi masikini za Afrika mashariki kama nchi zake kuu za wahisani jua kuwa hamna Rais humo.
Mkuu kamanda Abubakar ana hali mbaya sana huko aliko, anytime inaweza tokea bad news
 
Rais anarudisha mahusiano na nchi majirani.unajuwa wakati wa hayati kidiplomasia tulikuwa tupo vibaya sana.
Hiu dunia si imefunzwa teknolojia ya mawasiliano ya kimtandao na covid-19? Kama kweli unahubiri janga hilo, nini kinachokunyanyua kwenda kuzurula kila leo?

Mambo mawili, mwanamama ana mambo mengi kama walivyo wana mama wengine tu na pili, mshauri wake alitumia miaka 4 kamilifu kuwa safarini kati ya miaka 10, yaani miaka 4 alikuwa nje ya mipaka ya TZ, sasa ndani ya siku 100, kakaa nje siku ngapi? Hakuna la kutegemea tofauti na hilo
 
Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji

Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.

Alishinda kwa kura mpaka akambuke wapiga kura?
 
Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji

Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.
Na wewe siku hizi umekuwa pingapinga?
 
Hili mama halijielewi, raia huku nje wanadai ndiye ametuletea delta baada ya kuzuru Uganda na Kenya! Hebu atulie home achape kazi tena tunataka atulie Ikulu mpya!
 
Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji

Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.
Wewe ulimpogia kura ili awe Rais wako?
 
Nimewiwa na Furaha na nashindwa Kuelezea jinsi nilivyopokea Taarifa kuwa Kesho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia Kuanza Ziara ya Siku Mbili nchini Rwanda kwa Mwaliko wa Mwenyeji wake Rais Paul Kagame.

Rais Samia asikudanganye Mtu Mama yangu kama kuna Marais ambao wanaipenda na Kuiheshimu Tanzania na wanawapenda Watanzania ndani ya Mioyo yao kabisa basi ni Mzee Yoweri Museveni na huyu Paul Kagame unayeenda Kukutana nae Kesho.

Upendo wa Marais Kenyatta wa Kenya na Ndayishimiye wa Burundi kwa Tanzania ni wa 'Kinafiki' na 'Maslahi' zaidi ila Upendo wa Waganda ( Museveni ) na Wanyarwanda ( Kagame ) kwa Watanzania ni wa kutoka Rohoni na Moyoni kabisa.

Najua Tanzania ni 'Millitary and Intelligence Giant' kwa Ukanda Wetu huu wa Maziwa Makuu, ila kwa Uweledi na Umahiri wa Masuala ya Kijeshi, Kiusalama, Kibiashara, Kimkakati, Ubunifu, Teknolojia na Kimahusiano alionao Rais wa Rwanda Paul Kagame najua yapo ambayo utafaidika nayo Kwake na Yeye pia kuna Mema ya kutoka Kwako ( Tanzania ) atafaidika nayo ili basi kwa pamoja Tanzania na Rwanda zipige hatua Kimaendeleo na kwa Ustawi wa Wananchi wake ( wao )

Tafadhali Rais Samia usisafiri kwenda Rwanda Kesho ukiwa umebeba Kichwani mwako yale Mawazo Potofu na ya Chuki kutoka kwa baadhi ya Watanzania wasiojielewa kuhusu nchi ya Rwanda, Wanyarwanda na Rais wake ( wao ) Paul Kagame. Rwanda inaipenda Tanzania na Wanyarwanda wanawapenda mno Watanzania na tambua tunaingiliana pia hata 'Kindugu' vile vile.

Mimi kama GENTAMYCINE nakutakia Safari njema, Mapokezi mema, Ziara njema, uifurahie Rwanda na urejee salama kabisa nchini Tanzania ili uyafanyie Kazi yale mema utakayokutana nayo huko na uyatumie pia katika Uongozi ( Utawala ) wako hapa nchini Tanzania.
 
Huyu mama anafeli. Kagame hawezi kumshauri lolote la maana zaidi ya kuua demokrasia. hivi hakujifunza kwa Jiwe?
 
Back
Top Bottom