Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

Toka ameapishwa hajawahi fika Arusha, Mbeya, Iringa au hata hapo kibaha tu ila keshakwenda Kenya, Burundi, Msumbiji

Rais akumbuke wapiga kura wake zaidi ya hizo nchi za nje.
Eti Wapiga kura wake? lini hilo lilifanyika, yeye yupo kwa haki ya katiba, subiri 2025 ndio awe nawe kama mpiga kura. Mwache ajenge nchi kwanza
 
Mother anawamix mix, upande huu wanashangilia Mbowe kukamatwa huku wanalia na chanjo, upande mwingine wanashangilia chanjo huku wanalia na Mbowe kukamatwa!! Hakika anaupiga mwingi
Mama hatabiriki,muda wowote anaweza hata kuwachenjia CCM wenzie.
 
Tulia wewe!

Mama anafungua nchi!
Anawakomesha mataga na sukuma gang
Anarudisha hela mtaani ili sisi mibavicha tuwe tunaziokota
Anaupiga mwingi sana
Wewe endelea na matusi yako. Mwisho wa siku mimi na wewe tunagombana mitandaoni tunawafaidisha wengine.
 
Zile lugha za mama anafuta legacy ya mwendazake,mama anawakomesha mataga na sukuma gang hazipo,bora Magufuli alipambana na mapapa waliofisadi nchi kuliko huyu wa sasa anawaacha mapapa anakamua masikini kwa tozo za dhulma.
Ndio maana nasema mimi na wewe kuendelea kurumbana wakati wanufaika ni wengine tunapoteza energy bure. Wanachadema na wanaccm tupendane tu
 
Tiss watapanda hewani kuzuia isitunguliwe?
Nitakujibu mama chokochoko atakaporudi nyumbani salama!
1627730823231.png
 
Back
Top Bottom