Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
So you're telling us that these so called Universal human rights are not afforded to CHADEMA's members?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao...
Mama usilaumu balozi kwa mapungufu yako! Wanaokufa ni binadamu tafuta suluhu hao mabalozi ni binadamu hawawezi kunyamaza wakati watu wanachinjwa ovyo. Ingekuwa ndugu wa Raisi au mkwe wake kachinjwa angesema tusubiri report?

Ripoti za Lissu ma Mo ziko wapi?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao...
Nadhani angeitisha kikao Cha mabalozi na sio kututuma sisi wananchi tukawaambie mabalozi
 
Mchina sio wa kumtegemea
It is sad that we have reached this point. Tuliambiwa nchi imefunguliwa. na moja ya mambo ya aina ile ni kuwa tayari kusikia kila unachoambiwa maana wanakupa hela zao.
Ukikataa ina maana una sources nyingine za kuaminika. Ningependa kuona ubadhilifu unaondoka, wizi wa mali ya umma unadhibitiwa, kazi za umma zinatolewa kwa weledi na kwa wale walio na uwezo etc
Bila nidhamu, baadhi ya haya mambo huwa baadae yanageuka shubiri maana yana tabia ya kukata kama upanga.
Well, ngoja tuendelee kuangalia maana what else can we do?
 
🔨🔨🔨🔨🔨 Machadema na waliowatuma hoi 🤣🤣

Waambie wafanye Uchunguzi Kwa nini wanataka kumuua Trump ,shenzi zao 😆😆
 
Jiwe alituaminisha sisi ni matajiri tutembee kifua mbele, lakini ikifika usiku Waziri wake wa fedha ananyata hadi EU, UK na US na bakuli lake kuomba chochote ili tule, tutibiwe.
Si vibaya kama alikuwa anaweza kupata maokoto kwao bila ya kijikomba na kuwanyeyekea na kuwa mlangoni mwao kila wakati, it wo alright. Jiwe was another human, usipime !
 
Kumbuka siyo wale Mabalozi wa Nyumba 10 wa chama unaowajua . Nadhani hujui kuwa wao wanawakilisha Nchi gani. Siyo Mabalozi wa Burundi au Rwanda , hawa ni zaidi ya wawakilishi.
acha dharau gentleman 🤣

diplomas in haina ukubwa wala udogo,

so, kidipomasia Rwanda na US zina hadhi sawa 🐒
 
acha dharau gentleman 🤣

diplomas in haina ukubwa wala udogo,

so, kidipomasia Rwanda na US zina hadhi sawa 🐒
Yes zina hadhi sawa, na zina Nguvu Tofauti. Kinachomatter ni Nguvu ! Hadhi hata Binadamu wote ni sawa mbele ya Mungu na mbele ya dunia. But Binadamu wote hawana nguvu zinazolingana , na hata hadhi hatulingani Bro. Balozi wa US hata pale UN ana nguvu kuliko hata Guteres Katibu Mkuu wa UN. Uncle Tom si mwenzako.
 
KATIKA MOJA YA HOTUBA MWEHUKE NI YA LEO.
Bibi kachanganya madawa, mama yangu umetoa kauli ya KUKAA KIMYA, lakini Wewe hujakaa kimya suala la mabalozi.
HILI NALO KALIANGALIE UPYA.
UTAKOSA PA KWENDA KUPUYANGA KWA KIMDOMO DOMO CHA USWAHILINI.
OHOOOOO
 
🔨🔨🔨🔨🔨 Machadema na waliowatuma hoi 🤣🤣

Waambie wafanye Uchunguzi Kwa nini wanataka kumuua Trump ,shenzi zao 😆😆
Kule si umeona waliothubutu kufanya mauaji wao walikula shaba kabla ya kutenda ouvu huo zaidi. Pia huyu wa juzi alikamatwa akijalribu kutoroka . Kule vyombo vya Usalama ni vingine brother. Usijaribu .
 
Whatever the case, there must be agreements binding the loan with specific compliance clauses.
Bank huwatawala wawakopeshao?.. world bank si bank ya masela sita kama siyo saba wanaofanya biashara ya kukopesha nchi kama pharmaceutical companies zinavyofanya biashara na nchi,au mikopo siyo biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…