Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan hivi karibuni amejibu kuhusu matamko yaliyotolewa na balozi mbalimbali hapa nchini Tanzania kufuatia kifo cha Kada wa CHADEMA, Ali Kibao.
Mara baada ya Ali Kibao kupatikana akiwa amefariki huko Ununio, Dar Es Salaam balozi za nchi mbalimbali kama Marekani, Ufaransa na Umoja Wa Ulaya yaani EU walijitokeza kukemea kitendo hicho na kuitaka serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi wa haraka.
Soma Pia:
Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa
Leo akiwa anatoa hotuba kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi La Polisi, mkuu huyo wa nchi amedokeza kuwa hayuko tayari kuelekezwa nini cha kufanya na kwamba Tanzania ina katiba na miongozo yake na kwamba
sisi tunajua nini cha kufanya.
View attachment 3098778
Source:
Mwananchi

Kuna watu wana mislead Samia tena inside member .
Aliyemuandikia Samia ile speech mungu anamuona.
Haikufaa kusomwa kwenye public , ni hatari kwa ustaw taifa.
Bado na appreciate sana timu ya JK, na Ben iliyokuwa inahusika na speech
JPM na Samia speech zao zinaandaliwa na machawa zaidi ambao are not realistic na wanashindwa kujua Rais anaongea publicly , kuna tatizo mahali, bora Ngosha sometime alikuwa anaongea kama yeye .
Mifano ambayo ni irrelevant, eti Trump kakoswa mara 2 , trump is manipulator and is of more political attention, by the way USA is not Tanzania by far !
Huo mfano haukupaswa kuwa hata sehemu ya speech ya Rais , you know what …… hiyo ikiwekwa BBC maana yake ni kwamba Mauaji TZ ni sawa kutokea kwa sababu USA pia yanatokea… therefore it is okay for TZ . Tena akaongeza mfano wa school shooters …..kwa hiyo mifano, Rais ana supplement kuwa ni sawa pia kwa Tanzania kuuliwa
Nasema tena uliyemlisha matango pori Rais , mungu anakuona.
Ukatili hauwezi kuwa justified na ukatili mwingine, unafanya Rais aonekane wa hovyo.
Ilitosha Rais kusema hatukubaliani na mauaji na violence has no place in our country .
Ni nani aliye andika speech ya Rais ,
Something is wrong
Kuna shida mahali Watanzania kazi kwenu