Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😆😁😄😃😀Mna Nongwa NinyiKamzidi Jiwe, Jiwe naye kamzidi
Pigia mstari "Inawezekana" kwahiyo usimwekee maneno yako!“Niliongoza Nchi vizuri kama Wanaume wanavyofanya inawezekana zaidi ya kile walichokuwa wanafanya wao.”
Hapa kamlisha maneno?
Kwenye suala la kuteka na kuua wakosoaji jiwe aliupiga mwingi Messi akasome!Kamzidi Jiwe, Jiwe naye kamzidi
Acha ikae hivyo hivyo Mheshimiwa Jaji“Niliongoza Nchi vizuri kama Wanaume wanavyofanya inawezekana zaidi ya kile walichokuwa wanafanya wao.”
Hapa kamlisha maneno?
🤣🤣Kwenye suala la kuteka na kuua wakosoaji jiwe aliupiga mwingi Messi akasome!
Hili ni tatizo la wanawake wote duniani.Uanamke unauathiri utendaji kazi wa rais.....ameathirika na inferiority complex kisaikolojia.....anahitaji uangalizi wa karibu na ushauri wa kisaikolojia wa hali ya juu.....
Akili yake inamtuma yuko kwenye mashindano na wanaume na kila kitendo chake lazima akilinganishe na mwanaume......
Matokeo ya jambo hili la kisaikolojia kwake na kwa nafasi aliyo nayo kwenye taifa anaweza kufanya maamuzi makubwa yenye kuliinua taifa au kuliangamiza taifa kutarajia na mihemko yake........
Huu ni ukumbusho wa ulemavu na ubovu wa katiba yetu na pia ni ukumbusho kuwa wanasiasa wanasiasa wanapochagua wagombea kwenye vyama vyao kwenye nafasi kubwa kama hizi wazingatie maslahi mapana ya taifa kwa ujumla na sio kusombwa makelele ya wengi wape.......
NB;
Imeangamia kaumu inayoongozwa na mwanamke...........
Maisha magumu kwako wewe unashinda kutukana wapinzania badala ya kufanya kazi🤣Maisha Magumu sana kuliko wakati wowote.
Mfumko wa bei mkubwa mno.
umetukana eeh......
Hapana si mfumo dume bali ni mfumo rasmi.......Mfumo dume umekujaa, hiyo kauli yako ya mwisho inadhihirisha hilo.
Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja.
Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi unaofanyika Accra, Ghana, leo Mei 24, 2022 amesema: “Changamoto kubwa ya kwanza ilikuwa kuaminiwa, Mwanamke wa kwanza kushika nafasi kubwa, kuwafanya watu wa Tanzania waniamini.
“Niliongoza Nchi vizuri kama Wanaume wanavyofanya inawezekana zaidi ya kile walichokuwa wanafanya wao.”
Anasema: “Changamoto nyingine ni kuhusu maambukizi ya Ugonjwa wa Covid-19 ambayo yalikuwa yakiisumbua Dunia, uchumi haukuwa mzuri. Nilikabiliwa na kibarua cha kukuza uchumi wa Tanzania.
“Changamoto ya tatu, uchumi ulipokuwa ukishuka nilijiuliza wapi pa kuanzia, nashukuru washirika, ikiwemo African Development Bank, wametusaidia katika ujenzi wa miundombinu, kilimo. Hivyo, kwa msaada wao na washirika wengine tulifanya vitu vizuri kadhaa.
“Kutokana na maambukizi ya Covid-19, tulipata fedha kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) kama ilivyotoa kwa mataifa mengine, wengi walitumia kwa matumizi ya kupambana na maambukizi.
“Tulichoamua ni kutumia sehemu ya fedha hizo kwa ajili ya kuboresha madarasa, kusambaza maji katika maeneo mengi ya nchi ambayo upatikanaji wake ulikuwa kama 72% lakini tukasogea hadi 80% na tunatarajia hadi kufikia 2025 maeneo ya mijini inaweza kuwa 92% na 85% kwa Vijijini, pia tumetumia kwa ajili ya masuala ya kuboresha huduma za afya.