Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Samia ni kweli ana afadhali kuliko Magufuli ila bado mapema kusema kaongoza kuliko wanaume wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa inakuja kwa kasi Sana mzee. Jpm yeye alikuwa na lengo la kutufanya machinga nchi nzima ili abaki peke yake kwenye ofisiNa ni kweli kwa 90% watu wamepata furaha na Amani japo pesa iko kdgo
Nasikia arufu ya mafiii hapa [emoji90][emoji90][emoji90]
Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja.
Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi unaofanyika Accra, Ghana, leo Mei 24, 2022 amesema: “Changamoto kubwa ya kwanza ilikuwa kuaminiwa, Mwanamke wa kwanza kushika nafasi kubwa, kuwafanya watu wa Tanzania waniamini.
“Niliongoza Nchi vizuri kama Wanaume wanavyofanya inawezekana zaidi ya kile walichokuwa wanafanya wao.”
Anasema: “Changamoto nyingine ni kuhusu maambukizi ya Ugonjwa wa Covid-19 ambayo yalikuwa yakiisumbua Dunia, uchumi haukuwa mzuri. Nilikabiliwa na kibarua cha kukuza uchumi wa Tanzania.
“Changamoto ya tatu, uchumi ulipokuwa ukishuka nilijiuliza wapi pa kuanzia, nashukuru washirika, ikiwemo African Development Bank, wametusaidia katika ujenzi wa miundombinu, kilimo. Hivyo, kwa msaada wao na washirika wengine tulifanya vitu vizuri kadhaa.
“Kutokana na maambukizi ya Covid-19, tulipata fedha kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) kama ilivyotoa kwa mataifa mengine, wengi walitumia kwa matumizi ya kupambana na maambukizi.
“Tulichoamua ni kutumia sehemu ya fedha hizo kwa ajili ya kuboresha madarasa, kusambaza maji katika maeneo mengi ya nchi ambayo upatikanaji wake ulikuwa kama 72% lakini tukasogea hadi 80% na tunatarajia hadi kufikia 2025 maeneo ya mijini inaweza kuwa 92% na 85% kwa Vijijini, pia tumetumia kwa ajili ya masuala ya kuboresha huduma za afya.
Ndoto za alinachaSAHIHISHO:
Ameongoza vizuri kuliko Magufuli.
Kamshinda yule wa kupandisha mabega pakuhwa mnooLost in Translation...
Sidhani kama contextually amesema kile ulichosema wewe...,
Ofcourse hata kama anaharibu hapa na pale ila kumlisha maneno tutakuwa hatutendi haki...
Pamoja na kwamba umeshindwa kuzuia chuki zako bahati mbaya sana Takwimu zinakuumbua..😂😂😂Hebu atuache inflation Iko juu ameshindwa kutatua matatizo ya kiuchumi, na mwaka huu Kuna njaa inakuja sijajua Serikali imejiandaaje!!!
Kwa sababu hii hapa 👇Kwanini anapenda kutaja jinsia yake
Ndio kwa sababu jamii yetu ukiwemo wewe ulikuwa unadhani mtu hawezi kuongoza kwa kuwa Rais Kwa sababu yeye ni mwanamke..Kwani jinsia yake inahusiana na urais?
Unaishi Tanzania ipi wewe? Angalia bidhaa dukani zilivyopanda bei ndani ya mwaka MmojaPamoja na kwamba umeshindwa kuzuia chuki zako bahati mbaya sana Takwimu zinakuumbua..
Kama unazo za tofauti tuwekee👇
Ndio maana huwa nawatukana na kuwaona mna akili kama za funza..Unaishi Tanzania ipi wewe? Angalia bidhaa dukani zilivyopanda bei ndani ya mwaka Mmoja
Hapana mkuuumetukana eeh
Kubishana na mtu unayekula na kulala kwenu hujui hata bei ya sabuni ni tabu sana, kajitegemee ujue ukali wa maishaNdio maana huwa nawatukana na kuwaona mna akili kama za funza..
Kwa hiyo Bei zimepanda kiasi kwamba hazinunuliki sio?
Kwa hiyo Samia ndio kapandisha sio?
Kwa hiyo Bei zimepanda Tanzania tuu sio?
Unajua huko Ghana aliko Rais mfumuko wa bei unasomekaje?
Pamoja na ujinga wenu mwingi,mnatakiwa kufahamu kwamba Tanzania maisha ni rahisi Sana kuliko Nchi zote za EAC na kushinda Nchi nyingi Sana hapa Africa 👇
Ntatoa wapi bando la kushinda mtandaoni kama nakula na kulala kwetu? 😆😆😆😆..Kubishana na mtu unayekula na kulala kwenu hujui hata bei ya sabuni ni tabu sana, kajitegemee ujue ukali wa maisha
Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja.
Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi unaofanyika Accra, Ghana, leo Mei 24, 2022 amesema: “Changamoto kubwa ya kwanza ilikuwa kuaminiwa, Mwanamke wa kwanza kushika nafasi kubwa, kuwafanya watu wa Tanzania waniamini.
“Niliongoza Nchi vizuri kama Wanaume wanavyofanya inawezekana zaidi ya kile walichokuwa wanafanya wao.”
Anasema: “Changamoto nyingine ni kuhusu maambukizi ya Ugonjwa wa Covid-19 ambayo yalikuwa yakiisumbua Dunia, uchumi haukuwa mzuri. Nilikabiliwa na kibarua cha kukuza uchumi wa Tanzania.
“Changamoto ya tatu, uchumi ulipokuwa ukishuka nilijiuliza wapi pa kuanzia, nashukuru washirika, ikiwemo African Development Bank, wametusaidia katika ujenzi wa miundombinu, kilimo. Hivyo, kwa msaada wao na washirika wengine tulifanya vitu vizuri kadhaa.
“Kutokana na maambukizi ya Covid-19, tulipata fedha kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) kama ilivyotoa kwa mataifa mengine, wengi walitumia kwa matumizi ya kupambana na maambukizi.
“Tulichoamua ni kutumia sehemu ya fedha hizo kwa ajili ya kuboresha madarasa, kusambaza maji katika maeneo mengi ya nchi ambayo upatikanaji wake ulikuwa kama 72% lakini tukasogea hadi 80% na tunatarajia hadi kufikia 2025 maeneo ya mijini inaweza kuwa 92% na 85% kwa Vijijini, pia tumetumia kwa ajili ya masuala ya kuboresha huduma za afya.
Ha ha ha ha haSAHIHISHO:
Ameongoza vizuri kuliko Magufuli.
Akisimulia ukweli aliokutana nao mtazika vichwa mchangani kama mbuni. Nyazaneni kunusuru hali!Uanamke unauathiri utendaji kazi wa rais.....ameathirika na inferiority complex kisaikolojia.....anahitaji uangalizi wa karibu na ushauri wa kisaikolojia wa hali ya juu.....
Akili yake inamtuma yuko kwenye mashindano na wanaume na kila kitendo chake lazima akilinganishe na mwanaume......
Matokeo ya jambo hili la kisaikolojia kwake na kwa nafasi aliyo nayo kwenye taifa anaweza kufanya maamuzi makubwa yenye kuliinua taifa au kuliangamiza taifa kutarajia na mihemko yake........
Huu ni ukumbusho wa ulemavu na ubovu wa katiba yetu na pia ni ukumbusho kuwa wanasiasa wanasiasa wanapochagua wagombea kwenye vyama vyao kwenye nafasi kubwa kama hizi wazingatie maslahi mapana ya taifa kwa ujumla na sio kusombwa makelele ya wengi wape.......
NB;
Imeangamia kaumu inayoongozwa na mwanamke...........
Aliikabili wapi wakati ilimuua??Kwamba korona ilikuwa changamoto kwake si kweli, jpm ndiye aliye kumbana na changamoto ya korona na aliikabili vizuri