Rais Samia: Kwa mwaka mmoja nimeongoza Nchi vizuri

Rais Samia: Kwa mwaka mmoja nimeongoza Nchi vizuri

Uanamke unauathiri utendaji kazi wa rais.....ameathirika na inferiority complex kisaikolojia.....anahitaji uangalizi wa karibu na ushauri wa kisaikolojia wa hali ya juu.....

Akili yake inamtuma yuko kwenye mashindano na wanaume na kila kitendo chake lazima akilinganishe na mwanaume......

Matokeo ya jambo hili la kisaikolojia kwake na kwa nafasi aliyo nayo kwenye taifa anaweza kufanya maamuzi makubwa yenye kuliinua taifa au kuliangamiza taifa kutarajia na mihemko yake........
.
Uchambuzi sahihi.

Tangu ameapshwa amekuwa akijiona na kufahamisha umma kuwa yeye ni Rais wa jinsi ya kike!!! Nani asiyejua kuwa yeye ni jinsi ya kike. Hivyo basi, anaishi, kutoa kauli na kutenda kama mwanamke dhidi ya Marais wanaume waliomtangulia. NI HATARI kwani inaathiri maamuzi yake ya Urais
 
Watanzania hawamkubali Rais mwenye sifa hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
 
Watanzania hawamkubali Rais mwenye sifa hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Mi nadhan wametawala wengi waislamu na wengi husema alostahili kiti kile ni PM wa sasa. Kwan PM Yeye si muislam?
 
Mi nadhan wametawala wengi waislamu na wengi husema alostahili kiti kile ni PM wa sasa. Kwan PM Yeye si muislam?

Hata huyo PM naye akiwa Rais utaanza kusikia makelele. Mwinyi alipigiwa kelele na kukejeliwa kwa kuitwa mzee ruksa, Kikwete mpaka leo anapigiwa kelele. Cha ajabu Mzee Mwinyi ndiye aliyeleta unafuu wa maisha baada ya Nyerere kuifilisi nchi na watu kuishi maisha magumu sana.
 
Na pia mwinyi ni ndugu yetu katika imani
 
Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja.

Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi unaofanyika Accra, Ghana, leo Mei 24, 2022 amesema: “Changamoto kubwa ya kwanza ilikuwa kuaminiwa, Mwanamke wa kwanza kushika nafasi kubwa, kuwafanya watu wa Tanzania waniamini.

“Niliongoza Nchi vizuri kama Wanaume wanavyofanya inawezekana zaidi ya kile walichokuwa wanafanya wao.”

Anasema: “Changamoto nyingine ni kuhusu maambukizi ya Ugonjwa wa Covid-19 ambayo yalikuwa yakiisumbua Dunia, uchumi haukuwa mzuri. Nilikabiliwa na kibarua cha kukuza uchumi wa Tanzania.

“Changamoto ya tatu, uchumi ulipokuwa ukishuka nilijiuliza wapi pa kuanzia, nashukuru washirika, ikiwemo African Development Bank, wametusaidia katika ujenzi wa miundombinu, kilimo. Hivyo, kwa msaada wao na washirika wengine tulifanya vitu vizuri kadhaa.

“Kutokana na maambukizi ya Covid-19, tulipata fedha kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) kama ilivyotoa kwa mataifa mengine, wengi walitumia kwa matumizi ya kupambana na maambukizi.

“Tulichoamua ni kutumia sehemu ya fedha hizo kwa ajili ya kuboresha madarasa, kusambaza maji katika maeneo mengi ya nchi ambayo upatikanaji wake ulikuwa kama 72% lakini tukasogea hadi 80% na tunatarajia hadi kufikia 2025 maeneo ya mijini inaweza kuwa 92% na 85% kwa Vijijini, pia tumetumia kwa ajili ya masuala ya kuboresha huduma za afya.

Ameeleza jinsi familia yake invyonufaika na urais wake nje ya mfumo rasmi
 
Hata huyo PM naye akiwa Rais utaanza kusikia makelele. Mwinyi alipigiwa kelele na kukejeliwa kwa kuitwa mzee ruksa, Kikwete mpaka leo anapigiwa kelele. Cha ajabu Mzee Mwinyi ndiye aliyeleta unafuu wa maisha baada ya Nyerere kuifilisi nchi na watu kuishi maisha magumu sana.
Aliifilisi nchi akiuza rasilimali, akiiba ama? 😃😃 sa kuitwa mzee wa ruksa ni tusi? Wizi ulipindukia kwa kikwete hilo liko wazi (Richmond, Escrow n.k)
 
Uanamke unauathiri utendaji kazi wa rais.....ameathirika na inferiority complex kisaikolojia.....anahitaji uangalizi wa karibu na ushauri wa kisaikolojia wa hali ya juu.....

Akili yake inamtuma yuko kwenye mashindano na wanaume na kila kitendo chake lazima akilinganishe na mwanaume......

Matokeo ya jambo hili la kisaikolojia kwake na kwa nafasi aliyo nayo kwenye taifa anaweza kufanya maamuzi makubwa yenye kuliinua taifa au kuliangamiza taifa kutarajia na mihemko yake........

Huu ni ukumbusho wa ulemavu na ubovu wa katiba yetu na pia ni ukumbusho kuwa wanasiasa wanasiasa wanapochagua wagombea kwenye vyama vyao kwenye nafasi kubwa kama hizi wazingatie maslahi mapana ya taifa kwa ujumla na sio kusombwa makelele ya wengi wape.......

NB;
Imeangamia kaumu inayoongozwa na mwanamke...........
Inferiority Complex 🤝
 
Mambo yanakwenda mrama.

Hakuna ukweli wowote katika hili.
 
Aliifilisi nchi akiuza rasilimali, akiiba ama? 😃😃 sa kuitwa mzee wa ruksa ni tusi? Wizi ulipindukia kwa kikwete hilo liko wazi (Richmond, Escrow n.k)
Kuitwa mzee ruksa ni kumkejeli kwamba anaruhusu kila kitu mpaka rushwa. Lakini ni yeye ndiye aliyeleta unafuu wa maisha. Kwani Mkapa hakuwa na kashfa za ufisadi? Au umesahau kashfa za BAE? Mbona hapigiwi kelele kama anazopigiwa Kikwete?
 
Labda kwa kuangalia opinion za CDM wanaotaka kuongopewa kwa vitu ambavyo awatopewa na anawamudu kweli huko, wengine genge la waporaji wa rasimali za taifa kupitia vibaraka wao wa propaganda mitandaoni; mwisho wana CCM walamba miguu ambao either anaweza wateua au wapiga mkasi kwenye uchaguzi kwa nafasi yake.

Lakini kwa opinion poll za mtaani na wapiga kura sote tunajua kusema anaongoza vizuri anajiongopea, kwa kuongeza nidhamu kazini sote tunajua anajiongopea na kwenye kupambana na ufisadi sote tunajua anajiongopea.

She in living in la-la land, what a narcissist; hivi mme note hadi kile ki pendant cha bendera ya Tanzania anachokivaa kwenye collar kimetengenezwa kwa madini nadhani ndio raisi pekee duniani mwenye anasa za aina hiyo.
 
Kuitwa mzee ruksa ni kumkejeli kwamba anaruhusu kila kitu mpaka rushwa. Lakini ni yeye ndiye aliyeleta unafuu wa maisha. Kwani Mkapa hakuwa na kashfa za ufisadi? Au umesahau kashfa za BAE? Mbona hapigiwi kelele kama anazopigiwa Kikwete?
Hiyo BAE mi siijui, nakumbuka tu za pesa za mboga. Usafirishaji wa twiga n.k. kwa utawala wa mkapa nilikuwa sjawa mkubwa ndo maana sijui wizi huo.
 
Hiyo BAE mi siijui, nakumbuka tu za pesa za mboga. Usafirishaji wa twiga n.k. kwa utawala wa mkapa nilikuwa sjawa mkubwa ndo maana sijui wizi huo.
Kuna nyuzi kibao humu kuhusu huo ufisadi unaweza kuzitafuta ukasoma. Hii hapa ni mfano

Back
Top Bottom