Rais Samia: Kwa mwaka mmoja nimeongoza Nchi vizuri

Samia ni kweli ana afadhali kuliko Magufuli ila bado mapema kusema kaongoza kuliko wanaume wote
 
Hapa mataga watafura, wao wanaamini mtu wao ndiye shujaa wa Africa!
 
Nasikia arufu ya mafiii hapa [emoji90][emoji90][emoji90]
 
Kwenye Free speech amejitahidi kushinda JPM


Kwenye demokrasia yeye ndiye mwenye rekodi ya kumuweka ndani kiongozi mkuu wa upinzani kwa muda mrefu kwa mashitaka ya uongo.

Bado kupitia kofia yake ya CCM alishinikiza speaker atolewe.
 
😂😂😂Hebu atuache inflation Iko juu ameshindwa kutatua matatizo ya kiuchumi, na mwaka huu Kuna njaa inakuja sijajua Serikali imejiandaaje!!!
Pamoja na kwamba umeshindwa kuzuia chuki zako bahati mbaya sana Takwimu zinakuumbua..

Kama unazo za tofauti tuwekee👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220413-100759.png
    107.6 KB · Views: 9
Kwani jinsia yake inahusiana na urais?
Ndio kwa sababu jamii yetu ukiwemo wewe ulikuwa unadhani mtu hawezi kuongoza kwa kuwa Rais Kwa sababu yeye ni mwanamke..

Rais yuko sahihi kwa maana hiyo kawafungulia fursa wanawake wengine kwamba jinsia has nothing to do with anything
 
Unaishi Tanzania ipi wewe? Angalia bidhaa dukani zilivyopanda bei ndani ya mwaka Mmoja
Ndio maana huwa nawatukana na kuwaona mna akili kama za funza..

Kwa hiyo Bei zimepanda kiasi kwamba hazinunuliki sio?

Kwa hiyo Samia ndio kapandisha sio?

Kwa hiyo Bei zimepanda Tanzania tuu sio?

Unajua huko Ghana aliko Rais mfumuko wa bei unasomekaje?

Pamoja na ujinga wenu mwingi,mnatakiwa kufahamu kwamba Tanzania maisha ni rahisi Sana kuliko Nchi zote za EAC na kushinda Nchi nyingi Sana hapa Africa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-205141.png
    151.9 KB · Views: 8
Kubishana na mtu unayekula na kulala kwenu hujui hata bei ya sabuni ni tabu sana, kajitegemee ujue ukali wa maisha
 
Kubishana na mtu unayekula na kulala kwenu hujui hata bei ya sabuni ni tabu sana, kajitegemee ujue ukali wa maisha
Ntatoa wapi bando la kushinda mtandaoni kama nakula na kulala kwetu? 😆😆😆😆..

Makini kuna ujumbe wenu huku 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220524-204936.png
    109.3 KB · Views: 6
🧐
 
Akisimulia ukweli aliokutana nao mtazika vichwa mchangani kama mbuni. Nyazaneni kunusuru hali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…