kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kabla hajawa rais uliona nguo anabadili kwa muda gani? Watu mna nongwa na vitu vidogo sana.Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Ni kama ana textile yake humo ndaniHuyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Huyu ni RAIS ambaye ni mwanamama...unataka aishi kama rais mwanaume.....Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Wanataka aishi kama waziri ama MAKAMU WA RAIS [emoji1787][emoji1787]Kabla hajawa rais uliona nguo anabadili kwa muda gani? Watu mna nongwa na vitu vidogo sana.
Ushindwe kumvisha VYEMA rais wako na uwe na uwezo wa kupeleka SATELLITE anga za mbali?!!![emoji12]Ni kama ana textile yake humo ndani
Apendeze Kabila nchi isiyo na utulivu ,awe mchafu SSH wa nchi bora na ya amani tele Afrika?!!![emoji1787]Joseph Kabila alikuwa ndio rais mwenye nguo nyingi sana Afrika. Sasa mambo yamebadika kutoka kwa mafundi nguo wa Paris hadi Dubai
Kweli tumefika huko?
Mshahara wake mbona unatosha sana tu
Halafu ni nguo je angebadikisha magari private yaani mara RR mara Bentley mara Lamborghini mara Porsche sijui tungesemaje
Besides, she is a woman
Wife ana nguo nikiweka nje utasema mzigo umeshuka leo hii kama Belo 3
Na utauza siku 2
Kwanza kodi ipi unalipa wewe!Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Wanawake wanahusudu kuvaa. Sasa akiwa rais piga hesabu itakuaje jinsi atakavyovaa au kubadili nguo kwa siku. Kila akigeuka na nguo yake mpya😂🤣😂Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Na ukiambiwa huyu dogo ana ghorofa hapo kariakoo si utakataa hadi utaapaaKabla hajawa rais uliona nguo anabadili kwa muda gani? Watu mna nongwa na vitu vidogo sana.