"Mkuu, unajuq anayemvisha ni nani? Unajua ananunulia wapi hizo nguo?"Sasa nguo zenyewe ni juhudi kuinama wewe bado unalalamika angekua anaenda shopping italy si ungeandamana
"Unajua kwa route hizo, biashara flani imefungukaje huko?"
"Usidhani wanaoenda kutengeneza sijui nini kule walipajua kwa bahati mbaya tu!"
Nikawauliza hawa jamaa vijiweni, wanazungumzia nini? Wakanicheka, wakaendelea zao na stori zao hizo, nikaona niondoke hapa, nisije ingia matatani.