Mkuu unaishi wapi tuonane tunywe wine? Yaani mke wangu tu home ninavyompamba. Yaani anarudia nguo za kutoka baada ya miaka kadhaa sembuse Rais wa nchi? Kwanza ninataka mhusika wake wa kumvalisha ambadilishie mavazi yawe expensive zaidi. Kama ni Kitenge kiwe ni no 1 kabisa the wax yaani kama ni suiting material iwe classic. Tena ashonewe na designers wakubwa. She is our president, our first family, our first female in this country. Ni lazima avae Sana na apendeze kuliko Wanawake wote kimavazi. Kudos