"Mkuu, unajuq anayemvisha ni nani? Unajua ananunulia wapi hizo nguo?"Sasa nguo zenyewe ni juhudi kuinama wewe bado unalalamika angekua anaenda shopping italy si ungeandamana
Umesema ya kweli mkuu wacha abadilisheHuyu ni RAIS ambaye ni mwanamama...unataka aishi kama rais mwanaume.....
Hatujawa malofa kushindwa kumbadilishia nguo Rais wetu kipenzi.....
#SiempreJMT
#MamaKaja
[emoji1] [emoji1787] [emoji23] nikiangalia jeans zangu nasema kweli mwanamke kaunbiwa kuvaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na bado huwa tunashusha kabati zima tukitafuta nguo ya kuvaa
Anyways let her be, Mwanamke ni Pambo avae awezavyo.
Mkuu tuvumilie tu 2025 tufanye yetu.Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Rais ni country face unataka avae nguo Moja? Hata asiponunuliwa na serikali yeye binafsi anao uwezo wa kuvaa nguo mpya kila siku na kila tukio. Hivi nikuulize kwani nguo ni sh ngapi? Isitoshe Mh. Rais wetu Samia anavaa simple attire na anapendeza Sana Tu. Yaani vitu vidogovidogo hivi tunajadiki badala ya kujadili maendeleo. Kazi kwelikweliHuyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
We mtoa post ni pomole... kumbe Tz bado tunawajinga kiasi Cha wewe, wewe niwahovyo! Kweli Karne hii mtu unakuja na hoja za kijinga namna hii?Joseph Kabila alikuwa ndio rais mwenye nguo nyingi sana Afrika. Sasa mambo yamebadika kutoka kwa mafundi nguo wa Paris hadi Dubai
Hii ni Ishara wazi kwamba Watz hatuna kazi za kufanya ila tumebaki kuketi vijiweni kazi ni kuwakodolea macho watu na kuwasengenya eti leo kala hiki , leo kavaa hivi, jana aligombana na mumewe, n.k n.k. " An idle mind is Satan's workshop".Kabla hajawa rais uliona nguo anabadili kwa muda gani? Watu mna nongwa na vitu vidogo sana.
Mkuu unaishi wapi tuonane tunywe wine? Yaani mke wangu tu home ninavyompamba. Yaani anarudia nguo za kutoka baada ya miaka kadhaa sembuse Rais wa nchi? Kwanza ninataka mhusika wake wa kumvalisha ambadilishie mavazi yawe expensive zaidi. Kama ni Kitenge kiwe ni no 1 kabisa the wax yaani kama ni suiting material iwe classic. Tena ashonewe na designers wakubwa. She is our president, our first family, our first female in this country. Ni lazima avae Sana na apendeze kuliko Wanawake wote kimavazi. KudosHuyu ni RAIS ambaye ni mwanamama...unataka aishi kama rais mwanaume.....
Hatujawa malofa kushindwa kumbadilishia nguo Rais wetu kipenzi.....
#SiempreJMT
#MamaKaja
Hv huko hazina ndio BOT au..?Fungu linatoka hazina kila mwezi milioni 15 kwa ajili ya mavazi ya mh.
Atakwambia anakatwa kwenye mshahara wake wa "kilo 3" anazolipwa na mhindi.Kwanza kodi ipi unalipa wewe!
Hakuna Mlipakodi mwenye Roho MASIKINI kiasi hiki!!!
Kabisa kama baruti. Halafu waongeze na budget ya nguo kuwe na designer outfits za mikutano ya nje ya nchi she is our public face, our figure, our country representative halafu eti avae masulumpwete. Halafu na hereni sijachyngukia huwa anavaaje. Ngoja nichungulie nishauri. Halafu saa mkononi lazima iwe nzito kabisa. Huyu ndiye Rais wetu hatuna mwingine. Avalishweeeee. Kama wake zetu tunavalisha Almasi, tanzanite, gold, silver, and all kinds of expensive gemstones why not my president tena a woman who by nature are flowers.acha mama alipuke
Kwa hiyo unadhani mshahara wake hautoshi kununulia nguo?.Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Tena sana Bora aongelee hichi tunachouziwa kinachofanana na Mchele, kande si kande kuiva hauwivi mchele wetu haupo tena madukani wafanyabiashara wanauza huu wenye triple profit balaa tupu.Kabla hajawa rais uliona nguo anabadili kwa muda gani? Watu mna nongwa na vitu vidogo sana.
Jifunze elim Dunia kujuwa Yale huyajuwiHuyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Halipwi mshahara?Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?