Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

Kama BUYU LA ASALI linatembea kwa viongozi wote wa juu chadema shida inakuwa ni nini? 😀 😀 😀 Watu wanalamba asali tu. Hawana habari
 
Mimi ni mwananchi mmoja wapo ninayetaka Dr. SSH 🇹🇿 2025 awe Rais mgombea pekee nchini, Hii Amani tuliyonayo tuendelee kuifurahia na miaka mingne mitano maana hatujui atakayekuja badae atakuwaje.
Sema hii asali, maana amani haijawahi kuwa tatizo katika hii nchi!
 
Mama ajiangalie tu,awajue kuwa hicho chama ni cha wachagga ukitoa pesa watakupenda na usipowapa wanakutenda.
Wa Msoga alishampa tips kuwa ili kwenda nao mstari ni kuwalambisha asali tu. Kwisha kazi hutaskia Nyoko Nyoko yoyote toka kwa hao umbwa.
Maana kinachowasumbuaga ni njaa tu.

Hata yule anayejiita nabii nahisi nae atakuwa kachapwa B kadhaa kachanganyikiwa ndio maana anatukana kila mtu kuanzia boda boda, mama ntilie nakadhalika.
 
Wanawajua tena unawalambisha wachache tu. Wa huko chini hawanaga akili wao huburuzwa
 
Hebu tuambie, asali ipi Chadema waliyolambishwa tuijue na wengine?
 
Rais na mwenyekiti wa CCM yupo sahihi kwa kauli hii! Maana ni mwanasiasa na ni mgombea mtarajiwa wa urais so ni lazima ujipe umuhim wa kushinda urais!! But wenye akili kisoda humu sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama unabisha fuatilia historia ya Chadema kuanzia walivyoipata Katiba yao hadi Ushiriki wao Kwenye Chaguzi mbalimbali

Chadema ni chama kilichoasisiwa na matajiri kwa ajili ya kutetea interest zao na Siyo kuongoza Serikali

Nimefurahi sana kumsikia Mpendwa wetu Rais Samia akisema haoni Sura za kushika Dola Chadema

Chama kilichokuwa na misingi ya kushika Dola wakati kinaasisiwa ni CUF pekee na labda sasa ACT wazalendo kwa baadae

Chadema ni chama cha Wafanyabiashara Mabwanyenye sema tu ndio bila kusoma falsafa yake akina Mmawia na Chakaza nao wakajikuta wako Bavicha
 
Uongo mtupu.

Labda anamaanisha haoni sura ya kushika dola Chadema kwasababu hawana polisi na tume feki ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…