Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

Ilikuwa ni Sauti ya mwanasiasa Jasiri, Makini na mwenye kujiamini " Hapa sioni sura yenye dhamira ya kushika Dola kwahiyo 2025 tunakwrnda na mama au siyo jamani"

Ukumbi mzima ukashangilia kwa nderemo, vifijo na vigelegele kutoka kwa wajumbe wa Bawacha wakiwemo wale Wanaume kadhaa waliokuwemo ukumbini.

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia

Ramadan kareem!
Huwa unanichekesha sana 🤣🤣
 
Acha uzushi wewe mzee. Hebu nenda hapo Ursino kwa yule rafiki yako wa Zamani nimeambiwa anaumwa sana. Ila Kambarage alikosea kumpa kile cheo akiwa kijana mdogo namna ile. Ana kiburi yule jamaa yako hatari.
 
Ilikuwa ni Sauti ya mwanasiasa Jasiri, Makini na mwenye kujiamini " Hapa sioni sura yenye dhamira ya kushika Dola kwahiyo 2025 tunakwrnda na mama au siyo jamani"

Ukumbi mzima ukashangilia kwa nderemo, vifijo na vigelegele kutoka kwa wajumbe wa Bawacha wakiwemo wale Wanaume kadhaa waliokuwemo ukumbini.

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia

Ramadan kareem!
Na mbowe alikuwepo kabisa nae akapiga vigelegele.......!
 
Ilikuwa ni Sauti ya mwanasiasa Jasiri, Makini na mwenye kujiamini " Hapa sioni sura yenye dhamira ya kushika Dola kwahiyo 2025 tunakwrnda na mama au siyo jamani"

Ukumbi mzima ukashangilia kwa nderemo, vifijo na vigelegele kutoka kwa wajumbe wa Bawacha wakiwemo wale Wanaume kadhaa waliokuwemo ukumbini.

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia

Ramadan kareem!
Uyumbu ni tabia ya mtu ama watu unao dhani wanauwezo mzuri wa kufikiri kuahirisha kufikiri kwasabu ya msimamo wa kundi fulani ama kuogopa viongozi wao.'Herding behaviour is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of fear of their leaders or group objective
Tanzania tumefika hapa tulipo kwasaba ya unyumbu kwa baadhi ya watu kuto kuwa na elimu ama kulishana matango poli hata wenye elimu tumeshuhudia wakijitoa ufahamu kwakudhani wengine hatuna uelewa kama wao ama wanadhani tunaweza kushawishika na utumbo
 
Back
Top Bottom