Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

Mama ameshamaliza mchezo.... Last card. Kwangu,kwangu, kwangu, stop,stop,stop, stop nimemaliza. CDM wanabung'aaa... Amemaliza.

So now tushukuru Mbowe, Lema na Lissu watarudi kugombea Ubunge. Then atatafutwa tu mtu ambaye hana impact atawekwa kugombea Urais na Zitto naye atafanya vivyo hivyo..

Kauli ya Mama maana yake? Anaona watu wachovu wasio na future au kariba ya Urais mwaka 2025. Anaona tu watu ambao ni choka mbaya kisiasa hawana uwezo wa kuongoza.

Siasa anayofanya mama kwa sasa nimeikubali. NATANGAZA RASMI KUMUUNGA MKONO SASA NA MWAKA 2025.
 
Mama ameshamaliza mchezo.... Last card. Kwangu,kwangu, kwangu, stop,stop,stop, stop nimemaliza. CDM wanabung'aaa... Amemaliza...
Kama wamekosa mgeni rasmi atokanaye na chama Chao watapataje mgombea uraisi. Fuatilia hivi vyama vinavyokuwa na viongozi kutoka kaskazini mwisho wake unakuajee. Haaaaaaa haaaaaa
 
Anewapiga msumari wakabaki wamebung’aa kawamaliza kisiasa kabisa
 
Kama BUYU LA ASALI linatembea kwa viongozi wote wa juu chadema shida inakuwa ni nini? 😀 😀 😀 Watu wanalamba asali tu. Hawana habari

Mbona Buyu la asali lilikaushwa na wapambe wa Jiwe , wengine wameipeleka China
 
Tatizo mnaokoteza vikauli na kuvifanya ndio mada. Mama alichombeza baada ya kuona sura za furaha, akasema kwa sura hizi zilivyo naona hamuhitaji dola maana mama yupo.
 
Mbona Buyu la asali lilikaushwa na wapambe wa Jiwe , wengine wameipeleka China
Hakuna asali yoyote kipindi cha Jiwe, wasingekuwa wanakomaa kumchafua kila upande wa dunia.
 
Hakuna asali yoyote kipindi cha Jiwe, wasingekuwa wanakomaa kumchafua kila upande wa dunia.

Mbona Palamagamba Kabudi na genge lake wana kesi ya kuweka matrilloni Kwenye bank Za China?
 
Mimi ni mwananchi mmoja wapo ninayetaka Dr. SSH 🇹🇿 2025 awe Rais mgombea pekee nchini, Hii Amani tuliyonayo tuendelee kuifurahia na miaka mingne mitano maana hatujui atakayekuja badae atakuwaje.
Unaonaje tukaendelea naye mpaka atakopofikisha miaka 100, kwani wajao hatujui hali ya amani itakuwaje au kwa ufupi awe rais wa maisha.
 
Unaonaje tukaendelea naye mpaka atakopofikisha miaka 100, kwani wajao hatujui hali ya amani itakuwaje au kwa ufupi awe rais wa maisha.
Itakuwa vzuri Sana tutakuwa tume enjoy uongozi wake vyakutosha, uongozi huu wa Dr. SSH umenifanya nijue kwanini Cameron hawaja badilisha Rais wao tokea 1982.
 
Back
Top Bottom