Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Unatamani kina Lema warudi bungeni sio ?Halafu kwenye wabunge aache haki itendeke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatamani kina Lema warudi bungeni sio ?Halafu kwenye wabunge aache haki itendeke.
Kama wamekosa mgeni rasmi atokanaye na chama Chao watapataje mgombea uraisi. Fuatilia hivi vyama vinavyokuwa na viongozi kutoka kaskazini mwisho wake unakuajee. Haaaaaaa haaaaaaMama ameshamaliza mchezo.... Last card. Kwangu,kwangu, kwangu, stop,stop,stop, stop nimemaliza. CDM wanabung'aaa... Amemaliza...
Nimekaa hapa. Zitto zamani sana ashanywewa.Kwa ACT mambo yatakuwa tofauti mkuu.
Kama BUYU LA ASALI linatembea kwa viongozi wote wa juu chadema shida inakuwa ni nini? 😀 😀 😀 Watu wanalamba asali tu. Hawana habari
Kaka mkubwa naona leo umepoa sana kulikoni!!?Mama mwenyewe hatogombea
Hakuna asali yoyote kipindi cha Jiwe, wasingekuwa wanakomaa kumchafua kila upande wa dunia.Mbona Buyu la asali lilikaushwa na wapambe wa Jiwe , wengine wameipeleka China
Hakuna asali yoyote kipindi cha Jiwe, wasingekuwa wanakomaa kumchafua kila upande wa dunia.
Yes.Unatamani kina Lema warudi bungeni sio ?
Unaonaje tukaendelea naye mpaka atakopofikisha miaka 100, kwani wajao hatujui hali ya amani itakuwaje au kwa ufupi awe rais wa maisha.Mimi ni mwananchi mmoja wapo ninayetaka Dr. SSH 🇹🇿 2025 awe Rais mgombea pekee nchini, Hii Amani tuliyonayo tuendelee kuifurahia na miaka mingne mitano maana hatujui atakayekuja badae atakuwaje.
Mlisema kakakimbia madeni sasa amerudi vp madeni yalishalipwa??Wa Msoga alishampa tips kuwa ili kwenda nao mstari ni kuwalambisha asali tu. Kwisha kazi hutaskia Nyoko Nyoko yoyote toka kwa hao umbwa...
Itakuwa vzuri Sana tutakuwa tume enjoy uongozi wake vyakutosha, uongozi huu wa Dr. SSH umenifanya nijue kwanini Cameron hawaja badilisha Rais wao tokea 1982.Unaonaje tukaendelea naye mpaka atakopofikisha miaka 100, kwani wajao hatujui hali ya amani itakuwaje au kwa ufupi awe rais wa maisha.