Rais Samia Suluhu Kafanikiwa Sana kuiteka 2025, ni uhakika kuwa ndani ya CHADEMA hakujawa na dhamira ya kweli ya kuishika dola kwa wakati huo, waendelee kujipanga baada ya mama labda wajaribu
Jana Rais Samia Suluhu alisema "Siasa ni mchezo wa fikra na mawazo, kulumbana kwa hoja [..] tukiwa na lengo kushika dola. Kwa sura ninazoziona hapa hamna dhamira ya kushika dola 2025. Mnajua mama yupo dhamira hiyo haipo."
Kama Rais Samia Suluhu alivyosema kwamba siasa ni mchezo na ni kweli siasa ni mchezo na tunaona jinsi alivyocheza kitendo cha kukubali kuwa mgeni rasmi kwa upinzani kajichotea point za kutosha kweli Rais Samia Suluhu ana sifa zote za kuwa kiongozi bora maana kiongozi bora ni yule anaewaunganisha wananchi wake na sio kuwatawanya Hongera sana Mama tuko na wewe hadi 2030.