Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

Rais Samia: Kwa sura nazoziona hapa (CHADEMA) hamna dhamira ya kushika dola 2025, mnajua mama yupo

Mimi ni mwananchi mmoja wapo ninayetaka Dr. SSH [emoji1241] 2025 awe Rais mgombea pekee nchini, Hii Amani tuliyonayo tuendelee kuifurahia na miaka mingne mitano maana hatujui atakayekuja badae atakuwaje.
Watanzania sisi tuna sifa ya ubishi, huwaga hatumkubali mtu hadi aondoke madarakani au Afariki Dunia.
 
Rais Samia Suluhu Kafanikiwa Sana kuiteka 2025, ni uhakika kuwa ndani ya CHADEMA hakujawa na dhamira ya kweli ya kuishika dola kwa wakati huo, waendelee kujipanga baada ya mama labda wajaribu

Jana Rais Samia Suluhu alisema "Siasa ni mchezo wa fikra na mawazo, kulumbana kwa hoja [..] tukiwa na lengo kushika dola. Kwa sura ninazoziona hapa hamna dhamira ya kushika dola 2025. Mnajua mama yupo dhamira hiyo haipo."

Kama Rais Samia Suluhu alivyosema kwamba siasa ni mchezo na ni kweli siasa ni mchezo na tunaona jinsi alivyocheza kitendo cha kukubali kuwa mgeni rasmi kwa upinzani kajichotea point za kutosha kweli Rais Samia Suluhu ana sifa zote za kuwa kiongozi bora maana kiongozi bora ni yule anaewaunganisha wananchi wake na sio kuwatawanya Hongera sana Mama tuko na wewe hadi 2030.
 
Haya ni mambo ya Mourinho kudanganya kuwa lineup yake wachezsji kadhaa ni majeruhi halafu siku ya mechi unakuta wote wapo kwenye kikosi.
Jambo Hilo CDM wawe nalo makini sana.

Chama kile kina mbinu nyingi za hadaa.
 
Leo Mama ameongea ukweli unaouma kwa ndugu zetu CHADEMA, Mama ni mwanasiasa hasa na ameiva, yupo vizuri haswaa BAWACHA/CHADEMA ujumbe umefika kama kisu kimepiga kwenye mfupa.

Mitano tena kwa Mama.

Chawa wa mama hamkusikia????
 
Mimi ni mwananchi mmoja wapo ninayetaka Dr. SSH 🇹🇿 2025 awe Rais mgombea pekee nchini, Hii Amani tuliyonayo tuendelee kuifurahia na miaka mingne mitano maana hatujui atakayekuja badae atakuwaje.
Hili suala la kumuita Dr mtu mwenye PhD ya heshima si ilishatolewa ufafanuzi na TCU sasa mbona bado mnamuita Dr.? Au hii ya rais ni ya heshima special?
 
Priority muda huu ni katiba mpya, tume huru ya uchaguzi,mengine baadaye. Mama oyee.
 
Eeh ni wale toplayer tu, mwenyekiti na machawa wake kadhaa ambao ni watu wa mdomo mdomo😀!

Zitto Kabwe unamsikia hata kidogo sahizi?
uvccm na sukuma gang jiandaen kufa kwa depression na kufikia 2025 mtakuwa mmekwisha kabisa.
 
Hebu tuambie, asali ipi Chadema waliyolambishwa tuijue na wengine?
sukuma gang huwa ni wapumbavu maana walizoea kuuwa watu na siku katiba mpya ikipatikana watatueleza vizuri kuhusu mauwaji waliyofanya kwa sasa tumalizane na katiba kwanza.
 
Hili suala la kumuita Dr mtu mwenye PhD ya heshima si ilishatolewa ufafanuzi na TCU sasa mbona bado mnamuita Dr.? Au hii ya rais ni ya heshima special?
Hii ya Rais ni yakipekee Sana, PhD yake Inagusa maisha ya Watu wote nchini na abroad.
 
Mimi ni mwananchi mmoja wapo ninayetaka Dr. SSH [emoji1241] 2025 awe Rais mgombea pekee nchini, Hii Amani tuliyonayo tuendelee kuifurahia na miaka mingne mitano maana hatujui atakayekuja badae atakuwaje.
Hata mimi nakuunga mkono anafaa kuendela ila mwambie awake tume huru uchaguzi usichafuliwe
 
Ilikuwa ni Sauti ya mwanasiasa Jasiri, Makini na mwenye kujiamini " Hapa sioni sura yenye dhamira ya kushika Dola kwahiyo 2025 tunakwrnda na mama au siyo jamani"

Ukumbi mzima ukashangilia kwa nderemo, vifijo na vigelegele kutoka kwa wajumbe wa Bawacha wakiwemo wale Wanaume kadhaa waliokuwemo ukumbini.

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia

Ramadan kareem!
 
Ameshawalambisha asali anajua lazima watulie.

Hata hivyo, hata CCM ikiendelea kubaki madarakani daima milele, nachotamani tupate katiba mpya tu ambayo itampunguzia rais madaraka. Pia, mafisadi na watumia madaraka vibaya tuweze kuwashughulikia muda wowote.
 
Back
Top Bottom