BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Sawa, kumbe mnaigiza!
Nilijua mnafanya kweli.
Nilijua mnafanya kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna akili?Utani au chombezo lazima ,ukweli utaona
Na tena, alikuwa akiongea kim-zaha mzaha hivi!Hii ni kauli ya kikubwa, Kwa watu wakubwa
Rais kamaanisha watamuunga mkono yeye na sio wao kugombea Kuchukua madaraka
Agombee asigombee, labda lenye maslahi kwa nchi akigombea ametupunguzia mzigo wa marais wastaafu.Mama mwenyewe hatogombea
Sura za dola mnazo?Ule msemo wa Maendeleo hayana Vyama,Mama Samia ndio anaishi nayo kabisa.
Sasa tulivyo Chadema wanaweza kuja Kwenye mkutano wa CCM na sare zao na wa CCM tunaweza kwenda kwenye mkutano CDM na sare zao,kila Mmoja akamsikiliza mwenzake.Hii amani ni mama Samia ndio kaileta.Kwanini tusijivunie Mama Samia,Rais wa mfano,mama yetu Shupavu kabisa mwenye roho ya kipekee.
#Kazi iendelee
Mambo yanaend kasi mno leo Mbowe ni kamanda wa kuwaonea wivu machawa wa mama,
Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema:
"Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema Mwenyekiti wa BAWACHA na Freeman Mbowe. Kwa sura nazoziona hapo hamna nia ya kushika dola 2025 mnajua Mama yupo dhamira hiyo haipo."
"Lakini niseme yes wote tuna lengo hilo lakini tukafanye kistaarabu kama Wanaadamu kama watu. Tuheshimiane, tuheshimike duniani."
Aidha Rais Samia ameongeza;
"Nataka niwaambie kitu kwa kipindi hiki kifupi nchi yetu inaheshimika sana duniani. Kwahiyo tusiirudishe chini, tusiirudishe nyuma. Twendeni na mwendo huu tuweke heshima ya nchi yetu pale inapostahiki.
Tanzania ni taifa kubwa tusilitolee sifa yake."
Kama ataanzisha mchakato wa katiba mpya, na tukaipata, hata mimi nitapiga kelele kushawishi huyu Mama aliyefanya jambo kubwa kama hilo apewe miaka mitano aongoze nchi, tena bila bugdha.Leo Mama ameongea ukweli unaouma kwa ndugu zetu CHADEMA, Mama ni mwanasiasa hasa na ameiva, yupo vizuri haswaa BAWACHA/CHADEMA ujumbe umefika kama kisu kimepiga kwenye mfupa.
Mitano tena kwa Mama.
Kama tunaheshimiana na kuthaminiana, huwezi kudharau chama chpchote cha siasa chenye wanachama mamilioni.Chadema kama watakuwa wana Akili kesho naomba waanze kurahani na kutoa kauli kali,hivi mama inakuwaje anaalikwa kwenye chama cha wenzake alafu mwishowe anawambiaa CCM hoye.
Aisee hii kauli kwakweli mm imenivurugia sherehe nzima ya leo.
Na chadema walivyo manyumbu Nimesikia wanaitikia Ccm oyeeeee!!!
Ilikuwa lazima aseme vile ili kuwafurahisha walionuna nunu...!
Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema:
"Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema Mwenyekiti wa BAWACHA na Freeman Mbowe. Kwa sura nazoziona hapo hamna nia ya kushika dola 2025 mnajua Mama yupo dhamira hiyo haipo."
"Lakini niseme yes wote tuna lengo hilo lakini tukafanye kistaarabu kama Wanaadamu kama watu. Tuheshimiane, tuheshimike duniani."
Aidha Rais Samia ameongeza;
"Nataka niwaambie kitu kwa kipindi hiki kifupi nchi yetu inaheshimika sana duniani. Kwahiyo tusiirudishe chini, tusiirudishe nyuma. Twendeni na mwendo huu tuweke heshima ya nchi yetu pale inapostahiki.
Tanzania ni taifa kubwa tusilitolee sifa yake."
Unahakika?Mama mwenyewe hatogombea
Alafu ww ulikuwa unaongea sana,naona kinyooongeee sasa yanakutoka....pole sana Kada wa Bavicha..tukutane 2025Mbele ya Katiba mpya hakuna shaka
hakikaUnahakika?
Sio rahisi kama unavyoweza kufikiriaMama mwenyewe hatogombea
Sasa zezeta kama Mdude umkabidhi nchi