Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa epuka huo mtego

Umeongea vitu sensible sana
 
Siwezi msamehe silaha Kwa kile alichokufanyia 2020
 
Sasa hata hao DPW watafanyaje kazi na wananchi ambao hawawakubali? Kama mwekezaji, hawezi kuogopa juu ya vitendea kazi vyake kuharibiwa in case wananchi wakapata hasira ya kumtimua kinguvu? Ipo siku wananchi wataamua kuwa na maamuzi wao wenyewe.

Na kwa nini iwe lazima aje hivyo hivyo kwa mkataba huu huu? Hata kwa kutumia nguvu lazima aje!! Duh, huyu Mama amejishushia credibility yake sana.
 
Hakuna tatizo lolote kwenye mkataba usisikilize hizi kelele za wanaharakati. Mkataba unaolalamikiwa una kipengele cha serikali kutaifisha biashara tafuta mikataba waliyoingia na mataifa mengine kama utakuta kipengele kama hicho.

Wabongo wajinga tu.
 
Shida sio Uwekezaji! Shida tutapata NINI? Acha kuzunguka zunguka sijui Kagame alisema!
TRA wanapata trilioni 7 kwa mwaka muda huu watakapoanza kazi DP World hapo bandarini zinakwenda kupatikana trilioni 21 kwa mwaka, zaidi ya mara tatu.

Foleni ya bandarini ya meli inakwenda kuondoka. Sasa fanya utafiti kwa muda wako binafsi, ili ujue hasara wanazopata wamiliki wa meli na bandari kwa ujumla, kwa kila zinapochelewa kushushwa.
 
TRA wanapata trilioni 7 kwa mwaka muda huu watakapoanza kazi DP World hapo bandarini zinakwenda kupatikana trilioni 21 kwa mwaka, zaidi ya mara tatu.
Acha uongo hizo tril 21 zitapatikana after 10 yrs projections. Whi most probable they wont make it kwa uswahili huu tunaouona.
 
Acha inyeshe tujue panapovuja..........
 
Bandari inakutesa.
Utakuwa umepungua ht uzito kwa jambo lisokuhusu si kwa sikio wala ndewe
 
Unaamini hii porojo? Zinapatikana kutoka wapi? TRA ataendelea kukusanya kodi kama kawaidi huduma za bandari tu ndio zitaendeshwa na DP World na mapato ya bandari tutagawana nao. Uliza Dijbout baada ya kuona mgao umekuwa mdogo kuliko walivyokuwa wanaedesha wao wakatibuana.
 
Acha uongo hizo tril 21 zitapatikana after 10 yrs projections. Whi most probable they wont make it kwa uswahili huu tunaouona.
Wengi wanaohoji kuhusu mkataba wana akili kama za kwako, hamjui mnaongea kitu gani.

Unapoondoa foleni ya meli kule nje maana yake moja kwa moja umeongeza ufanisi ambao unamaanisha kama kwa siku inahudumiwa meli moja na TPA basi zitahudumiwa meli mbili.

Hapo umeongeza pato kwa mamlaka zote zinazoshughulika na bandari kwa kutumia muda mchache.
 
Djibouti sio Tanzania, ni vitu viwili tofauti.

Mapato yatapatikana baada ya kufungwa mitambo ya kisasa na muda wa kushusha na kupakia mizigo unakwenda kupunguzwa. Kumbuka kuwa urasimu pale TPA ndio unaochelewesha meli na kulazimisha uwepo wa ICDs nyingi, tumetengeneza mazingira ya foleni zisizo na ulazima ili taasisi za wapigaji ziweze kupata faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…