Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa epuka huo mtego

Mzigo ni ule ule mapato yanaongezekaje ? sana sana utapunguza gharama za demurage kwenye meli kusuburi kushusha na utapunguzo mapato waliokuwa wanapata TPA kwenye mizigo inayochelewa kutoka bandarini maana hili kwao ilikuwa ni faida. DP World hawaji na mizigo mipya maana waingizaji mizigo nchini na nchi jirani ni wale wale sana sana labda kuwavutia wanapitisha mzigo mombosa na beira ambapo hizo bandari na zenyewe hazijalala zinapambana kama sisi kuvutia wateja.
 
Alikuwa balozi wa Tanzania kule Sweden kwa miaka yote ya hayati JPM, hana shukrani ni wale wale wanaotumikia matumbo yao.

Japokuwa ni mtu wa usalama hivyo anachokifanya kinaweza kuwa ni sehemu ya michezo ya kisiasa inayochezwa na mfumo wa CCM.
 
Kumbuka kuwa kuna wateja wengi walioacha kuitumia bandari kabla hata DPW hajaonyesha nia ya kuwekeza.

Ufanisi mzima wa bandari utakwenda kuwarudisha wote hao na changanya na mizigo ya hao waarabu iliyopo DRC na Rwanda.

Huko bara na nchi kavu ya eneo hili kwa ujumla, kuna tani zaidi ya milioni 25 zinazotaka kusafirishwa kwenda nje ya afrika, mpaka sasa ufanisi mzima wa bandari haujazidi tani milioni 5.
 
Aliyekuambia Tanzania hatuna hiyo mitambo ya kisasa ni nani ? ushawahi fika hata bandarini kutembea ukajionea kazi zinavyoenda ?
 

Attachments

  • 1692170616113.png
    26.5 KB · Views: 1
Aliyekuambia Tanzania hatuna hiyo mitambo ya kisasa ni nani ? ushawahi fika hata bandarini kutembea ukajionea kazi zinavyoenda ?
Mkuu tembea huko kote wanapofanya biashara hao DPW uone ukubwa wa mitambo yao na namna ilivyo ya kisasa.

Kuongea humu jukwaani ni kazi rahisi sana.
 
Mkuu tembea huko kote wanapofanya biashara hao DPW uone ukubwa wa mitambo yao na namna ilivyo ya kisasa.

Kuongea humu jukwaani ni kazi rahisi sana.
Jibu swali nililokuuliza ushawahi tembelea TPA? Mitambo mikubwa unaijua? umeiona ya TPA ukaona ni midogo ?
 
Uongo
 
Inapotokea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vita huwa ni kubwa sana

Kumbukeni ya Mwaka 1995, 2005 na 2015.

Unaweza kudhani unapendwa kumbe unaliwa timing tu, hapo watu wamempa fupa apambane nalo huku wao wakisubiri 2025

Siasa ni Sayansi
 
Mimi nadhani mpaka tulipofikia, ameshafeli tayari. Zaidi sana, wasaidizi wake wamsaidie angalau amelizie tu muhula huu.
 
Wanaomwangusha ni wasaidizi wake, wala si mwingine. Lakini wanafanya vibaya sana kumharibia Mama.
 
Si tununue hiyo mitambo
Maarifa mengi yanapungua kwenye suala zima la uendeshaji wa bandari.

Ingekuwa rahisi hivyo hata huko Antwerp na London wangeinunua tu mitambo mipya.

China wanazo bandari sita wamezikodisha hawa DPW, na wao wangeinunua mitambo wakajiendeshea bandari wao wenyewe.
 
Wenye Bandari yao Watanganyika wameshakataa. Kwanini manatumia nguvu kubwa kuwalazimisha???
Elimu ndogo tunajaribu kuwaelimisha wafunguke vichwani waweze kuelewa fursa wanazozipoteza.

Waafrika wengi tuna umaskini licha ya kuzungukwa na mali nyingi ambazo wazungu hawaoni aibu kuzitumia na zinawatajirisha.

Akili hizi hizi kama za kwako, wanazo watu wa Niger, wanazo watu wa DRC, zimejaa afrika nzima na ni mtaji mzuri sana kwa wazungu.

Pale Congo kila siku wanacheza mayenu na kukatika viuno, wanaanzisha bendi mpya, huku bandarini TPA kila mwezi kuna makontena kwa makontena ya madini yanayotokea kwao yakienda mashariki ya mbali kwa sababu ya ujinga tu kama wa mkuu Halaiser wa kuona utanganyika ndio ujanja.
 
Aiseeh, wewe ni mshenzi sana.

Kwani kiongozi hata akiwa wa dini yako . Inakusaidia nini ?! Akiwa wa madhehebu mengine pia inakupunguzia kitu gani !!.
Kwanza mimi si mshenzi,

Hili swali labda niwaulize nyie wagalatia, hivi kiongozi akiwa muislam kwanini mnachukia sana? Tena mko tayari hata kuanzisha fujo?
Kwanini lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…