Unaongelea dini gani? Wakristu, Wakatoliki!! Wakristu tuko very objective, hatuwezi kuunga mkono mtu ambaye anataka kutuharibia amani ya taifa letu.
Tofauti na Waislamu wanaangalia kila maamuzi na kuhusisha na kwenye dini ya mtu. Wakristu tunapima ubora (merit) ya maamuzi na kuyaunga au kuyapinga.
Dr Slaa hana jipya zaidi ya FRUSTRATION. na siyo mtu wa kuaminika.
Toka kuwa Padri wa RC hadi kuwa Mume wa Rose Kamili na Mushumbushi ni kukosa focus. Kisha Mgombea wa CCM Karatu mwaka 1995 na kuhmia CHADEMA. Mbunge na kuwa Katibu mkuu wa CDM na mgombea uRais mwaka 2010. Halafu akasaliti chama kwa kununuliwa na Magufuli kama andazi au bakuli. Kafanya ubalozi lakini kipindi kilipokwisha mke kakataa kurudi Tanzania
Baada ya Ubalozi ku expire maana aliyempa alikufa, ndipo anakuja na munkari wa kutaka kupindua Serikali.
Dr Slaa ni mnafiki, msaliti, mtu asiyekuwa na msimamo na yuko tayari kuuzwa kama bidhaa