Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

Baada ya miezi ndio anaona umuhimu wa kutoa pole...unafiki.
 
Mama naona hajatulia kila siku anakutana na watu.....
 
Kwani kila taarifa lazima upost?
Hii taarifa ilishaketwa jamvini mchana
 
Nimekuta Jet ya RwandaAir oale airport Dodoma asubuhi leo
 

Ametuma Leo??? Mbona inashangaza alikuwa wapi muda wote?
 
Huyu anatupa pole leo?mbona kama kachelewa sana
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.

Duh 🙄 mijitu mingine bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…