Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

Mungu akubariki sana Mama kwa majibu yenye hekima na ya kisomi, nigekuwa na uwezo mama ningekutunuku PhD ya heshima na ukaitwa Dr. Samia Suluhu Hassan kuanzia sekunde hii maana una hekima na busara ya hari ya juu kabisa.
 
Akina Rugemalila wako sero sasa mwaka wa tano. Kusema kuwa sheria itachua mkondo wake haitoshi ...... Dhulma huwa haina tabia ya kujificha. Hata serikali za Makaburu na Wakoloni, sheria zilichukua mkondo wake ....!!
Leo mnamtetea Rugemalila? Hii ni sahihi kweli? Walipiga hela zetu za kivusha jasho kupitia wakuu wetu wakiita hela haikuwa ya umma.
Acha wakinyweee, za mkwezinzake mbili
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
bado anaamini kwamba mtaani watu wanavutiwa na maneno matamu kumbe walishaondoka huko mda mrefu yeye afanye anachojisikia tu hakuna mwenye matumaini naye tena
 
Kisura mzuri shida roho
Ogopa sana sura Kama ya mama yaani hadi leo kila nikifumba macho na kufumbua siamini kabisa kweri ni huyu huyu mama wa ki zanzibar kweri the anayo yasema kutoka mdomoni mwake. mama una watoto pia Madaraka ni ya kupita tu, fikilia Mkapa yupo wapi?
 
Urais ni taasisi ndugu yangu mambo mengine yanafanyika hata yeye "NADHANI" huwa hajui. Rais hasilaumiwe sanaa


Lakini yeye ndiye Key player wa hiyo taasisi yote.

Inakuwaje mambo kufanyika bila yeye kujua?

Hata kama atakuwa hajajua kwa namna moja ama nyingine vipi kuhusu kupata mrejesho kutoka kwa wananchi kutokana na kile kilichofanywa na wengine kwenye taasisi bila yeye kujua?

Baada ya kusikia mfano kelele, malalamiko n.k toka kwa wananchi zidi ya kile kilichofanywa na wenzie bila yeye kujua baada ya kujua kinafanyika nini?
 
1. Huyu jini jike ni muongo na mchawi ona!
Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao, Lakini kwasababu na kama utakumbuka Mbowe hakuwepo nchini alikuwa Nairobi, sasa kwanini kakimbia sijui. Lakini alivyoingia tu nchini Kaitisha maandamano ya Katiba na madai ya katiba. Nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi ya aina hiyo na hii vurugu ambayo ana-instigate akikamatwa aseme mmhh! kwasababu ya Katiba, kwasababu tumeitisha Katiba... nadhani sina hakika.


2. Hapa ni tusi--- kwa watanzania: Hapa kwetu tunaandamana kwa vurugu, kupiga magari?? na
 
Habari ni kwa mujibu wa tweet ya CHADEMA Media:

"Katika kesi hiyo ya Kikatiba Mhe. @freemanmbowetz anasema alipokuwa chini ya ulinzi wa Polisi aliambiwa maneno; 'Wewe si unajifanya unaijua na kuifahamu Katiba Mpya safari hii hautachomoka, tunakupa kesi ya ugaidi'." Wakili Peter Kibatala.
 
Hatuna rais tuna kituko ikulu
 
Huyu mama kumbe hapendi demokrasia na ndio maana kamkamata Mbowe, hio demokrasia ya fujo ni ipi? Nadhani ni ya kudai katiba mpya

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Amesema "anadhani" maana yake inawezekana kweli hajui, hili linanionesha kwamba;

- Inawezekana Rais haziamini taarifa anazopewa toka kwa wasaidizi wake.

au.

- Hapewi taarifa kabisa, na yeye anasoma Mbowe "gaidi" mitandaoni kama tunavyosoma na sisi wengine.
 
Hapa tumepigwa hatuna kiongoz
Kwamba wenzake na Mbowe hapo sentenced toka lini wenzake na Mbowe wamehukumiwa ?

Kama Mbowe alishitakiwa kwa kosa la Ugaidi mwezi September mwaka Jana kwa nini aliambiwa wakati kesi ya ugaid haina dhamana ?
Ikiwa wenzake wameshahukumiwa kwa nini Mbowe ashitakiwe leo ilihali wenzake walishahukumiwa ?

Toka lini mtuhumiwa aruhusiwe kutoroka aende nchi zingine ilihali ana makosa makubwa kama hayo na bado arudi afiwe na kaka yake umtumie salam pole mtu anayetuhumiwa na ugaid?

Hapa hakuna Rais .
Aliingia kwa Corona atatoka kwa Corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…