Pre GE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Machadema nyie ni ama majinga au mnajisahaulisha.

Kuna mkutano wa Chadema ambao Huwa hamsemi watu waitoe ccm 2025,wawachague wajumbe wenu na kutoa vitisho vya eti mkiiniwa kura hamtakubali tena?

Mpaka hapo nani anaogopa? Chadema au CCM?

Mwisho kwani kwenye mikutano yenu huko Huwa mnaongea nini zaidi ya kampeni?

Tulieni dozi iwaingue,Samia Kamati humo humo wameanza kiweqeseka.👇👇

View: https://twitter.com/SuluhuSamia/status/1813653319291912194?t=zxpYXApORgBp0yaBf-wRwQ&s=19
 
Labda ABDUL ndiye bado Mchanga .... Vyama vina umri zaidi ya miaka 30 sasa ...!!

CCM ndiyo inayotakiwa Kustaafu sasa ..... imeshachoka na haina jipya.
 
sidhani kama ana masikio
 
Wale wanafanyaga research, anajua mtaani kukoje. Lakini ujanja si kuwai ni kupata..
 
Kwa hoja nzito ulizozitoa, mtu mzima hana namna, itampasa achutame tu.
 
Hili limama lina uchu wa madaraka ili liendelee kuuza rasilimali za Tanganyika. Liliaza kampeni tangu lilipoapishwa, linatumia mafisadi kuliweka kwenye mabango nchi nzima. Kwa tamaa hizi linapaswa kuogopwa kama ukoma
 
hua nashindwa kuelewa wanafanya kampeni za nini wakati ushindi kwao ni unkwepekable iwe wananchi wanataka ama hawataki. si wa save energy tu!
 
Wewe nadhani kwenye ubongo wako kuna kinyesi cha waarabu, hujui kitu zaidi ya udiniwl wa kijinga
Ma Sha Allah mama anatawala Kiislam kabisa, kimya kimya anafanya mabo yake, bila kelele bila kujimwambafai hata akitukanwa.

Uislam mwema sana.
 
ni vizuri na muhimu sana mh.Rais Dr Samia Suluhu Hassan akaachwa arudishe feedback ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kwa wanaichi iliyofanya wanainchi wakaiamini na kuichagua CCM kushika dollar, kuunda Serikali na kuongoza nchi na waTanzania wote...

ni muhimu zaidi kwa kushirikiana nasi wasaidizi wake kuongeza biidii, kasi na ari zaidi ya kuwafikia wananchi wengi zaidi nchini na kuwapatia mrejesho wa utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM na kueleza uelekeo wa siku zijazo....

Ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030 bado hata kamati haijaundwa, kwasababu kuna Serikali madarakani na ina kazi ya kutekeleza ilani iliyopo...

kwahivyo kudai kwamba kuna kampeni zinafanyika ni upotoshaji wenye kustahili kupuuzwa tu maana ni mazoea mabaya ya uzushi kwa waliofulisika hoja....

kampeni kwaajili ya Serikali za mitaa baadae mwaka huu, na uchaguzi mkuu mwaka ujao zitatangazwa rasmi na vyombo husika na kupitia ilani za vyama vyao, vyama vya siasa vitanadi sera zao kwa wananchi 🐒

Mbowe, Lipumba, Dr.Samia na wanasiasa wengine wapo kwenye mikutano ya kisiasa maeneo mbalimbali nchini kwa mujibu wa sheria. au kuna moja kati yao ana nadi ilani ya ya Uchaguzi chama chake 2025-2030?🐒

nadhani IQ issue
inaweza kua changamoto kwenye mambo haya...
 
Uchaguz uwe waz na huru tuone ...kama kwel anakubalika kuna watu hapo wamefuata kumuona alivo
 
Uchaguz uwe waz na huru tuone ...kama kwel anakubalika kuna watu hapo wamefuata kumuona alivo
Kuna mdau humu kaandika kwamba Mama anasafiri na Wahudhuriaji, magari 200 kila gari lina watu 6 hadi 8, wakishuka hao ni wangapi? Ongeza na msafara wa DC, DAS,RC,RAS, OCD, RPC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…