FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Udini na ugaidi wenu utafika mwisho, ufiraji na usagaji utakoma
View: https://youtu.be/3hxJgpJC8Y4?si=h8n2P-Aj6UHinBKV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udini na ugaidi wenu utafika mwisho, ufiraji na usagaji utakoma
Mama Samia spidi yake ya kuleta maendeleo ni kali haijwahi kutokea.Crap. Soma mada uelewe. Usipende kuropoka.
Hujamsikia Mwakyembe?Walimu wa madarasa wanalawiti watoto misikitini, kwa wasagaji mpigie K
Mange akujuze zaidi
Kama Leo ufahamuKinachotakiwa kutenganishwa ni shughuli za serikali, na zile za chama. Masuala ya serikali ni ya watu wote, masuala ya chama ni ya wanachama.
Nitakupa mfano mdogo. Je, kukitokea vita na nchi nyingine, utashauri Ssh atangaze vita kama Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania, au afanye hivyo kama Mwenyekiti wa Ccm?
Hiki tunachokizungumza tayari kipo ktk sheria zetu. Tatizo Ccm ina utamaduni mbaya wa kukiuka sheria na katiba.
Labda siasa za Tanzania ambazo hazina viwango. Kwenye nchi za wenzetu nafasi ya Mwenyekiti wa Chama kutenganishwa na ile ya Raisi / Waziri Mkuu / Mkuu wa nchi. Hali hiyo inawezesha chama kuisimamia serikali yake. CCM inakiuka sheria na pia inakosa ustaarabu na uungwana wa kisiasa. Kuna mambo mengi CCM inayafanya kana kwamba bado tuko ktk mfumo wa chama kimoja, kitu ambacho sio afya kwa siasa zetu, na umoja wa taifa letu.Kama Leo ufahamu
Kabla ya Rais ajatangaza vita laazima akutane na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM kwa maana CCM ndio wenye serikali na yeye ni Mwenyekiti wa Kikao hicho
Kama CCM inakiuka Sheria mkuu wewe kama Mtanzania una haki ya kwenda mahakamani na kushtaki Ili Wakati mwingine CCM isikuke Sheria za nchi
Hakuna mwanasiasa utamtenganisha na chama chake daima
Labda kama Siasa umeivamia
Upepo umekaa vibaya. Uwezekano wa CCM kushinda kwenye sanduku/Box la kura hakuna na wanajua. Wanatapatapa wananchi wameshachoka. Hata waliowategemea wanaona kabisa hali mbaya. Wameanza sasa kutoa Siri za wizi wao na bado. Hv naangalia chawa wa mama Star tv. Eti wanashindana atakayetangaza vizuri kazi za Samia apewe tuzo. Huku waTanganyika wote tunajua kuwa asilimia kubwa anamalizia miradi ya MAGUFULI. waTanganyika wa leo siyo wa mwaka 1947. Angalia mkutano wa Chadema wa Kijijini Cha Kamsamba mwambao mwa Ziwa Rukwa. Angalia mkutano wa Kiwila Tukuyu. Hakuna wasanii, hakuna Maroli ya kubeba watu. You tubeHuyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.
Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao;
1. Achana na kampeni kabla ya muda.
Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa kutii Sheria. Sheria ya uchaguzi inahitaji kampeni zifanyike kwenye muda wa kampeni na si vinginevyo. Rais unapopita huku na kule na kuwaambia wananchi wasiwachague wapinzani bado ni wachanga bali wachague CCM hiyo ni kampeni ya wazi.
Ni aibu Kwa Rais mzima aliyeapa kuilinda Katiba na Sheria za nchi, kuanza ujinga wa kampeni mapema. Je wenzako wafanye nini? Je na wao wafanye kampeni ya kuomba kuchaguliwa mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?.
2. Inabidi utofautishe Ziara za kampeni na Ziara za kiserikali.
Wewe ni Rais wa Nchi, inabidi utofautishe kati ya Ziara ya kampeni na Ziara ya kiserikali. Hizi Ziara zako unazofanya huko Katavi na Rukwa ni Ziara za kiserikali, Kwa maana nyingine ni Ziara zinazo gharamiwa na Kodi za wananchi. Ni ujinga kutumia Kodi za wananchi kujipigia debe na kukipigia debe chama chako.
Nilishangaa sana ulipomlazimsha mbunge wa Nkasi kupitia CHADEMA mwanamama Aida Kenani kuanza na salamu ya CCM oye. Nikajiuliza hii ni Ziara ya Rais au Ziara ya chama Cha mapinduzi. Unamwambiaje mbunge aanze na salamu ya chama wakati ni Ziara ya kiserikali?. Ulipotoka sana.
Nikushauri tu, Kama unataka kujipigia debe basi anzisha Ziara za kichama na sio kutumia raslimali za Serikali na Kodi za wananchi kufanya makampeni yako ya kijinga. Yani utumie Magari ya Serikali na walinzi wa Serikali kujipigia kampeni? No please.
Pia soma: Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?
Nikushauri tu, hizi ni Ziara za kikazi zitumie kufanya kazi za Serikali , achana na huu ujinga unaoufanya wa kampeni, acha mara moja.
3. Tumia Ziara hizi kujibu maswali magumu ya watanzania.
Nikushauri ya kwamba kwa sababu upo kwenye Ziara ya kiserikali jaribu kutoa ufumbuzi kwa mambo yanayoendelea Tanzania. Jikite kwenye mambo ya msingi kama masuala ya utekaji, sukari, maji, mmonyoko wa maadili, malalamiko ya wafanyabiashara, ajira nk. Jikite huko na uongee na Raia na kusikiliza shida zao achana na vijembe havisaidii kwa Sasa watu Wana shida nyingi sana na hawaitaji vijembe vyako.
4. Mwisho punguza kauli za dharau na kiburi.
Unadai upinzani ni wachanga hawawezi kuongoza nchi. Nikuulize swali, mwaka 2015 CCM ilipata asilimia 57 ya Kura za Urais, Kwa maana nyingine wapinzani walipata asilimia 42, tofauti ya asilimia 15. Je hiyo tofauti ya asilimia 15% ni ya wachanga au wakubwa? Tena kwenye mfumo wa uchaguzi ambao unaifavour CCM.
Nijuzi tu hapa 2019, wagombea wa viti vya seriakali za mtaa wa upinzani waliondolewa kugombea kwa asilimia 80% mpaka wakaamua kususia uchaguzi wote na CCM kupata ushindi wa asilimia 95%.
Kama hiyo haitoshi, 2020 wagombea wa Ubunge wa vyama vya upinzani wakaondolewa tena kwenye kugombea Ubunge. Cha kusikitisha wengine wakiwa ni wabunge waliomaliza muda wao Kama mbunge Susan Kiwanga, aliondolewa kwenye kinyang'anyiro Cha Ubunge wakati alikuwa amehudumu kwa muda wa miaka mitano. Cha kusikitisha zaidi siku ya kupiga kura mtandao ukazimwa kwa wiki nzima, na ujinga mwingi kufanyika.
Nikuulize swali, je Kama upinzani ni wachanga kwanini mnatumia nguvu na mabavu kupambana nao. Yani wewe baba mzima wa miaka 60 unapigana na mtoto mchanga kwa kutumia rungu, huo sio utaahira?. Hivyo basi hakuna Cha mchanga Wala Mzee, kila kiongozi akiingia madarakani ataongozwa na Katiba iliyopo na sio umri wa miaka yake.
Niishie hapo
By Econonist.
Mpaka 2025 wananchi watakuwa wameelewa. waTanganyika wa leo siyo wa mwaka 47Hili limama lina uchu wa madaraka ili liendelee kuuza rasilimali za Tanganyika. Liliaza kampeni tangu lilipoapishwa, linatumia mafisadi kuliweka kwenye mabango nchi nzima. Kwa tamaa hizi linapaswa kuogopwa kama ukoma
Mtu mwwnyew mweupe kichwani nani ajiharie kwa kumuogopa, yeye ndio muoga ndio maana hajiamini anaanza kampeni nje ya muda rasmi.Sasa hivi kila mtapomuona Rais Mama Samia mtaona ni kampeni tu. Uoga huo.
Anatembelea nchi anayoitawala kutazama kinachofanyika nini na nini watu wanahitaji.
Msijiharie, bado mapema.
Kilaza.a tu yuleMbowe anafanya nini huko Kilimanjaro?
Nyie mabwege sana ndg
Kwamba Rais asizumgumze na wananchi
Rais Samia ni Rais wa Tanzania
Pia Ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
Mbona ndio kwanza kaanza
Mwezi 11 anapiga Kanda ya kaskazini siku 21 non stop
Mtabaki mnatoa mapovu kama Ngombe aliefia ziwani
Mama kanyaga twende 😂
Kampeni bado, anatembelea miradi yake na kuanzisha mipya, mmeanza kujamba jamba.Mtu mwwnyew mweupe kichwani nani ajiharie kwa kumuogopa, yeye ndio muoga ndio maana hajiamini anaanza kampeni nje ya muda rasmi.
Huku kwetu Zanzibar wanawake wako kundi la watoto ndio maana hatuwezi kuwapa urais wa nchi.Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.