mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subri mwakani uone tunavyojaza box la kura za Samia mapema na asubuhiKuna mdau humu kaandika kwamba Mama anasafiri na Wahudhuriaji, magari 200 kila gari lina watu 6 hadi 8, wakishuka hao ni wangapi? Ongeza na msafara wa DC, DAS,RC,RAS, OCD, RPC
Na picha zimekua nyingi barabarani kuliko idadi ya waliojiandikisha kupiga kura!!!😴😴Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.
Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao;
1. Achana na kampeni kabla ya muda.
Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa kutii Sheria. Sheria ya uchaguzi inahitaji kampeni zifanyike kwenye muda wa kampeni na si vinginevyo. Rais unapopita huku na kule na kuwaambia wananchi wasiwachague wapinzani bado ni wachanga bali wachague CCM hiyo ni kampeni ya wazi.
Ni aibu Kwa Rais mzima aliyeapa kuilinda Katiba na Sheria za nchi, kuanza ujinga wa kampeni mapema. Je wenzako wafanye nini? Je na wao wafanye kampeni ya kuomba kuchaguliwa mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?.
2. Inabidi utofautishe Ziara za kampeni na Ziara za kiserikali.
Wewe ni Rais wa Nchi, inabidi utofautishe kati ya Ziara ya kampeni na Ziara ya kiserikali. Hizi Ziara zako unazofanya huko Katavi na Rukwa ni Ziara za kiserikali, Kwa maana nyingine ni Ziara zinazo gharamiwa na Kodi za wananchi. Ni ujinga kutumia Kodi za wananchi kujipigia debe na kukipigia debe chama chako.
Nilishangaa sana ulipomlazimsha mbunge wa Nkasi kupitia CHADEMA mwanamama Aida Kenani kuanza na salamu ya CCM oye. Nikajiuliza hii ni Ziara ya Rais au Ziara ya chama Cha mapinduzi. Unamwambiaje mbunge aanze na salamu ya chama wakati ni Ziara ya kiserikali?. Ulipotoka sana.
Nikushauri tu, Kama unataka kujipigia debe basi anzisha Ziara za kichama na sio kutumia raslimali za Serikali na Kodi za wananchi kufanya makampeni yako ya kijinga. Yani utumie Magari ya Serikali na walinzi wa Serikali kujipigia kampeni? No please.
Pia soma: Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?
Nikushauri tu, hizi ni Ziara za kikazi zitumie kufanya kazi za Serikali , achana na huu ujinga unaoufanya wa kampeni, acha mara moja.
3. Tumia Ziara hizi kujibu maswali magumu ya watanzania.
Nikushauri ya kwamba kwa sababu upo kwenye Ziara ya kiserikali jaribu kutoa ufumbuzi kwa mambo yanayoendelea Tanzania. Jikite kwenye mambo ya msingi kama masuala ya utekaji, sukari, maji, mmonyoko wa maadili, malalamiko ya wafanyabiashara, ajira nk. Jikite huko na uongee na Raia na kusikiliza shida zao achana na vijembe havisaidii kwa Sasa watu Wana shida nyingi sana na hawaitaji vijembe vyako.
4. Mwisho punguza kauli za dharau na kiburi.
Unadai upinzani ni wachanga hawawezi kuongoza nchi. Nikuulize swali, mwaka 2015 CCM ilipata asilimia 57 ya Kura za Urais, Kwa maana nyingine wapinzani walipata asilimia 42, tofauti ya asilimia 15. Je hiyo tofauti ya asilimia 15% ni ya wachanga au wakubwa? Tena kwenye mfumo wa uchaguzi ambao unaifavour CCM.
Nijuzi tu hapa 2019, wagombea wa viti vya seriakali za mtaa wa upinzani waliondolewa kugombea kwa asilimia 80% mpaka wakaamua kususia uchaguzi wote na CCM kupata ushindi wa asilimia 95%.
Kama hiyo haitoshi, 2020 wagombea wa Ubunge wa vyama vya upinzani wakaondolewa tena kwenye kugombea Ubunge. Cha kusikitisha wengine wakiwa ni wabunge waliomaliza muda wao Kama mbunge Susan Kiwanga, aliondolewa kwenye kinyang'anyiro Cha Ubunge wakati alikuwa amehudumu kwa muda wa miaka mitano. Cha kusikitisha zaidi siku ya kupiga kura mtandao ukazimwa kwa wiki nzima, na ujinga mwingi kufanyika.
Nikuulize swali, je Kama upinzani ni wachanga kwanini mnatumia nguvu na mabavu kupambana nao. Yani wewe baba mzima wa miaka 60 unapigana na mtoto mchanga kwa kutumia rungu, huo sio utaahira?. Hivyo basi hakuna Cha mchanga Wala Mzee, kila kiongozi akiingia madarakani ataongozwa na Katiba iliyopo na sio umri wa miaka yake.
Niishie hapo
By Econonist.
Endelea kujidanganyaTunduma hakuna ccm
Si ajabu mnaitwa nyumbu 😁😁👇👇Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.

Mbowe anafanya nini huko Kilimanjaro?
Nyie mabwege sana ndg
Kwamba Rais asizumgumze na wananchi
Rais Samia ni Rais wa Tanzania
Pia Ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
Mbona ndio kwanza kaanza
Mwezi 11 anapiga Kanda ya kaskazini siku 21 non stop
Mtabaki mnatoa mapovu kama Ngombe aliefia ziwani
Mama kanyaga twende 😂
Hapana kosa loloteMtoa mada amesema kama Raisi anataka kufanya kampeni basi afanye ziara ya Kichama. Ni makosa Rais kuwa ktk ziara ya kiserikali halafu anaanza kufanya kampeni, tena kabla ya wakati.
Na nchi ni yake pia na pesa ni zake.Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.
Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao;
1. Achana na kampeni kabla ya muda.
Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa kutii Sheria. Sheria ya uchaguzi inahitaji kampeni zifanyike kwenye muda wa kampeni na si vinginevyo. Rais unapopita huku na kule na kuwaambia wananchi wasiwachague wapinzani bado ni wachanga bali wachague CCM hiyo ni kampeni ya wazi.
Ni aibu Kwa Rais mzima aliyeapa kuilinda Katiba na Sheria za nchi, kuanza ujinga wa kampeni mapema. Je wenzako wafanye nini? Je na wao wafanye kampeni ya kuomba kuchaguliwa mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?.
2. Inabidi utofautishe Ziara za kampeni na Ziara za kiserikali.
Wewe ni Rais wa Nchi, inabidi utofautishe kati ya Ziara ya kampeni na Ziara ya kiserikali. Hizi Ziara zako unazofanya huko Katavi na Rukwa ni Ziara za kiserikali, Kwa maana nyingine ni Ziara zinazo gharamiwa na Kodi za wananchi. Ni ujinga kutumia Kodi za wananchi kujipigia debe na kukipigia debe chama chako.
Nilishangaa sana ulipomlazimsha mbunge wa Nkasi kupitia CHADEMA mwanamama Aida Kenani kuanza na salamu ya CCM oye. Nikajiuliza hii ni Ziara ya Rais au Ziara ya chama Cha mapinduzi. Unamwambiaje mbunge aanze na salamu ya chama wakati ni Ziara ya kiserikali?. Ulipotoka sana.
Nikushauri tu, Kama unataka kujipigia debe basi anzisha Ziara za kichama na sio kutumia raslimali za Serikali na Kodi za wananchi kufanya makampeni yako ya kijinga. Yani utumie Magari ya Serikali na walinzi wa Serikali kujipigia kampeni? No please.
Pia soma: Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?
Nikushauri tu, hizi ni Ziara za kikazi zitumie kufanya kazi za Serikali , achana na huu ujinga unaoufanya wa kampeni, acha mara moja.
3. Tumia Ziara hizi kujibu maswali magumu ya watanzania.
Nikushauri ya kwamba kwa sababu upo kwenye Ziara ya kiserikali jaribu kutoa ufumbuzi kwa mambo yanayoendelea Tanzania. Jikite kwenye mambo ya msingi kama masuala ya utekaji, sukari, maji, mmonyoko wa maadili, malalamiko ya wafanyabiashara, ajira nk. Jikite huko na uongee na Raia na kusikiliza shida zao achana na vijembe havisaidii kwa Sasa watu Wana shida nyingi sana na hawaitaji vijembe vyako.
4. Mwisho punguza kauli za dharau na kiburi.
Unadai upinzani ni wachanga hawawezi kuongoza nchi. Nikuulize swali, mwaka 2015 CCM ilipata asilimia 57 ya Kura za Urais, Kwa maana nyingine wapinzani walipata asilimia 42, tofauti ya asilimia 15. Je hiyo tofauti ya asilimia 15% ni ya wachanga au wakubwa? Tena kwenye mfumo wa uchaguzi ambao unaifavour CCM.
Nijuzi tu hapa 2019, wagombea wa viti vya seriakali za mtaa wa upinzani waliondolewa kugombea kwa asilimia 80% mpaka wakaamua kususia uchaguzi wote na CCM kupata ushindi wa asilimia 95%.
Kama hiyo haitoshi, 2020 wagombea wa Ubunge wa vyama vya upinzani wakaondolewa tena kwenye kugombea Ubunge. Cha kusikitisha wengine wakiwa ni wabunge waliomaliza muda wao Kama mbunge Susan Kiwanga, aliondolewa kwenye kinyang'anyiro Cha Ubunge wakati alikuwa amehudumu kwa muda wa miaka mitano. Cha kusikitisha zaidi siku ya kupiga kura mtandao ukazimwa kwa wiki nzima, na ujinga mwingi kufanyika.
Nikuulize swali, je Kama upinzani ni wachanga kwanini mnatumia nguvu na mabavu kupambana nao. Yani wewe baba mzima wa miaka 60 unapigana na mtoto mchanga kwa kutumia rungu, huo sio utaahira?. Hivyo basi hakuna Cha mchanga Wala Mzee, kila kiongozi akiingia madarakani ataongozwa na Katiba iliyopo na sio umri wa miaka yake.
Niishie hapo
By Econonist.
Crap. Soma mada uelewe. Usipende kuropoka.Sasa hivi kila mtapomuona Rais Mama Samia mtaona ni kampeni tu. Uoga huo.
Anatembelea nchi anayoitawala kutazama kinachofanyika nini na nini watu wanahitaji.
Msijiharie, bado mapema.
Hapana kosa lolote
Anachokifanya Ssh ni kukagua miradi ya maendeleo na anatumikia Kofia Mbili Kama Rais wa Jmt na Mwenyekiti wa Chama Chenye serikali
Leo hii mnataka kusema Vyama ni Haramu huku vyama hivyo vyote vikihudumiwa na serikali kwenye ruzuku?
Hata Marekani Biden aachi kujitambulisha kama Rais anaetokana na chama Cha Democrats
Acheni kujadili vitu vidogoo
Mnajidanganya sana nduguMambo ya serikali yanapaswa kutenganishwa na ya chama. Kama Ssh anataka kukagua miradi kama Mwenyekiti wa Ccm anaweza kuandaliwa ziara na chama chake. Na katika ziara hiyo anapaswa kutambulishwa kama Mwenyekiti wa Ccm. Rais Biden akifanya ziara kama mgombea wa Democrat chama chake hulazimishwa kulipia gharama za ziara hiyo. Hapa Tanzania Ccm inapokea ruzuku kuendesha shughuli zake, lakini utakuta wanafanya vikao vyao Ikulu kwa gharama za wananchi wote.
Pamoja na kwamba akina nape na ile tume yao wanasaidia lakini bado usingizi hawalali.Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.
Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao;
1. Achana na kampeni kabla ya muda.
Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa kutii Sheria. Sheria ya uchaguzi inahitaji kampeni zifanyike kwenye muda wa kampeni na si vinginevyo. Rais unapopita huku na kule na kuwaambia wananchi wasiwachague wapinzani bado ni wachanga bali wachague CCM hiyo ni kampeni ya wazi.
Ni aibu Kwa Rais mzima aliyeapa kuilinda Katiba na Sheria za nchi, kuanza ujinga wa kampeni mapema. Je wenzako wafanye nini? Je na wao wafanye kampeni ya kuomba kuchaguliwa mwaka mmoja kabla ya uchaguzi?.
2. Inabidi utofautishe Ziara za kampeni na Ziara za kiserikali.
Wewe ni Rais wa Nchi, inabidi utofautishe kati ya Ziara ya kampeni na Ziara ya kiserikali. Hizi Ziara zako unazofanya huko Katavi na Rukwa ni Ziara za kiserikali, Kwa maana nyingine ni Ziara zinazo gharamiwa na Kodi za wananchi. Ni ujinga kutumia Kodi za wananchi kujipigia debe na kukipigia debe chama chako.
Nilishangaa sana ulipomlazimsha mbunge wa Nkasi kupitia CHADEMA mwanamama Aida Kenani kuanza na salamu ya CCM oye. Nikajiuliza hii ni Ziara ya Rais au Ziara ya chama Cha mapinduzi. Unamwambiaje mbunge aanze na salamu ya chama wakati ni Ziara ya kiserikali?. Ulipotoka sana.
Nikushauri tu, Kama unataka kujipigia debe basi anzisha Ziara za kichama na sio kutumia raslimali za Serikali na Kodi za wananchi kufanya makampeni yako ya kijinga. Yani utumie Magari ya Serikali na walinzi wa Serikali kujipigia kampeni? No please.
Pia soma: Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?
Nikushauri tu, hizi ni Ziara za kikazi zitumie kufanya kazi za Serikali , achana na huu ujinga unaoufanya wa kampeni, acha mara moja.
3. Tumia Ziara hizi kujibu maswali magumu ya watanzania.
Nikushauri ya kwamba kwa sababu upo kwenye Ziara ya kiserikali jaribu kutoa ufumbuzi kwa mambo yanayoendelea Tanzania. Jikite kwenye mambo ya msingi kama masuala ya utekaji, sukari, maji, mmonyoko wa maadili, malalamiko ya wafanyabiashara, ajira nk. Jikite huko na uongee na Raia na kusikiliza shida zao achana na vijembe havisaidii kwa Sasa watu Wana shida nyingi sana na hawaitaji vijembe vyako.
4. Mwisho punguza kauli za dharau na kiburi.
Unadai upinzani ni wachanga hawawezi kuongoza nchi. Nikuulize swali, mwaka 2015 CCM ilipata asilimia 57 ya Kura za Urais, Kwa maana nyingine wapinzani walipata asilimia 42, tofauti ya asilimia 15. Je hiyo tofauti ya asilimia 15% ni ya wachanga au wakubwa? Tena kwenye mfumo wa uchaguzi ambao unaifavour CCM.
Nijuzi tu hapa 2019, wagombea wa viti vya seriakali za mtaa wa upinzani waliondolewa kugombea kwa asilimia 80% mpaka wakaamua kususia uchaguzi wote na CCM kupata ushindi wa asilimia 95%.
Kama hiyo haitoshi, 2020 wagombea wa Ubunge wa vyama vya upinzani wakaondolewa tena kwenye kugombea Ubunge. Cha kusikitisha wengine wakiwa ni wabunge waliomaliza muda wao Kama mbunge Susan Kiwanga, aliondolewa kwenye kinyang'anyiro Cha Ubunge wakati alikuwa amehudumu kwa muda wa miaka mitano. Cha kusikitisha zaidi siku ya kupiga kura mtandao ukazimwa kwa wiki nzima, na ujinga mwingi kufanyika.
Nikuulize swali, je Kama upinzani ni wachanga kwanini mnatumia nguvu na mabavu kupambana nao. Yani wewe baba mzima wa miaka 60 unapigana na mtoto mchanga kwa kutumia rungu, huo sio utaahira?. Hivyo basi hakuna Cha mchanga Wala Mzee, kila kiongozi akiingia madarakani ataongozwa na Katiba iliyopo na sio umri wa miaka yake.
Niishie hapo
By Econonist.
Kuna watu husema huwezi kuitofautisha wala kuitenganisha Ccm na Serikali yake.Nikushauri tu, Kama unataka kujipigia debe basi anzisha Ziara za kichama na sio kutumia raslimali za Serikali na Kodi za wananchi kufanya makampeni yako ya kijinga. Yani utumie Magari ya Serikali na walinzi wa Serikali kujipigia kampeni? No please.
Kinachotakiwa kutenganishwa ni shughuli za serikali, na zile za chama. Masuala ya serikali ni ya watu wote, masuala ya chama ni ya wanachama.Mnajidanganya sana ndugu
Yaan wewe unashauri utaratibu wako mpya ila uwezi mtenganisha Ssh na CCM
Ndio maana Leo mtu akifukuzwa kwenye chama Cha Siasa Hana tena uhalali wa kuwa kiongozi
Wewe unashauri na Ssh ajafanya kosa lolote
Tumekusikia kwenye katiba yetu Rasimu tutaongeza hicho kipengele
Udini na ugaidi wenu utafika mwisho, ufiraji na usagaji utakomaMa Sha Allah mama anatawala Kiislam kabisa, kimya kimya anafanya mabo yake, bila kelele bila kujimwambafai hata akitukanwa.
Uislam mwema sana.