Pre GE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna mdau humu kaandika kwamba Mama anasafiri na Wahudhuriaji, magari 200 kila gari lina watu 6 hadi 8, wakishuka hao ni wangapi? Ongeza na msafara wa DC, DAS,RC,RAS, OCD, RPC
Subri mwakani uone tunavyojaza box la kura za Samia mapema na asubuhi
 
Samia ni Rais wa haki ndo maana tunampenda,
 
Mbowe anafanya nini huko Kilimanjaro?

Nyie mabwege sana ndg

Kwamba Rais asizumgumze na wananchi

Rais Samia ni Rais wa Tanzania

Pia Ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi

Mbona ndio kwanza kaanza

Mwezi 11 anapiga Kanda ya kaskazini siku 21 non stop

Mtabaki mnatoa mapovu kama Ngombe aliefia ziwani


Mama kanyaga twende 😂
 
Na picha zimekua nyingi barabarani kuliko idadi ya waliojiandikisha kupiga kura!!!😴😴
 
Si ajabu mnaitwa nyumbu 😁😁👇👇

View: https://twitter.com/MwanzoTvPlus/status/1813801371071848745?t=zX3Lodsaxg4iGTyRE-SYKg&s=19
 

Mtoa mada amesema kama Raisi anataka kufanya kampeni basi afanye ziara ya Kichama. Ni makosa Rais kuwa ktk ziara ya kiserikali halafu anaanza kufanya kampeni, tena kabla ya wakati.
 
Kaanza mapema Ili awahakikishie wajomba zake kuwauzia rasilimali za nchi yetu Kwa mikataba walioisaini mezani tayari!!
 
Mtoa mada amesema kama Raisi anataka kufanya kampeni basi afanye ziara ya Kichama. Ni makosa Rais kuwa ktk ziara ya kiserikali halafu anaanza kufanya kampeni, tena kabla ya wakati.
Hapana kosa lolote

Anachokifanya Ssh ni kukagua miradi ya maendeleo na anatumikia Kofia Mbili Kama Rais wa Jmt na Mwenyekiti wa Chama Chenye serikali

Leo hii mnataka kusema Vyama ni Haramu huku vyama hivyo vyote vikihudumiwa na serikali kwenye ruzuku?

Hata Marekani Biden aachi kujitambulisha kama Rais anaetokana na chama Cha Democrats

Acheni kujadili vitu vidogoo
 
Na nchi ni yake pia na pesa ni zake.
Tanzania ya sasa inaendeshwa kama kikundi cha ngoma! Viongozi wa juu wanajisikia huku pesa hazitolewi tena na serikali kiasi kwamba hata kikao cha bajeti ya serikali kuu hakina maana tena, wanajichotea tu pesa watakavyo na wakati wowote.
 
Sasa hivi kila mtapomuona Rais Mama Samia mtaona ni kampeni tu. Uoga huo.

Anatembelea nchi anayoitawala kutazama kinachofanyika nini na nini watu wanahitaji.

Msijiharie, bado mapema.
Crap. Soma mada uelewe. Usipende kuropoka.
 

Mambo ya serikali yanapaswa kutenganishwa na ya chama. Kama Ssh anataka kukagua miradi kama Mwenyekiti wa Ccm anaweza kuandaliwa ziara na chama chake. Na katika ziara hiyo anapaswa kutambulishwa kama Mwenyekiti wa Ccm. Rais Biden akifanya ziara kama mgombea wa Democrat chama chake hulazimishwa kulipia gharama za ziara hiyo. Hapa Tanzania Ccm inapokea ruzuku kuendesha shughuli zake, lakini utakuta wanafanya vikao vyao Ikulu kwa gharama za wananchi wote.
 
Mnajidanganya sana ndugu

Yaan wewe unashauri utaratibu wako mpya ila uwezi mtenganisha Ssh na CCM

Ndio maana Leo mtu akifukuzwa kwenye chama Cha Siasa Hana tena uhalali wa kuwa kiongozi

Wewe unashauri na Ssh ajafanya kosa lolote

Tumekusikia kwenye katiba yetu Rasimu tutaongeza hicho kipengele
 
Pamoja na kwamba akina nape na ile tume yao wanasaidia lakini bado usingizi hawalali.

Namba hazidanganyi wanaujua ukweli.
 
Nikushauri tu, Kama unataka kujipigia debe basi anzisha Ziara za kichama na sio kutumia raslimali za Serikali na Kodi za wananchi kufanya makampeni yako ya kijinga. Yani utumie Magari ya Serikali na walinzi wa Serikali kujipigia kampeni? No please.
Kuna watu husema huwezi kuitofautisha wala kuitenganisha Ccm na Serikali yake.

Pascal Mayalla Nguruvi3 JokaKuu zitto junior
 
Hakuna kitu pale strategy za kukusanya watu kwa CCM mbona ziko wazi.....wamesombwa,wana maelekezo na nyama watakula na bendera,vilemba,khanga nk.wamepewa ndiyo maana kelele na vifijo ni mwanzo mwisho,hawana kiu ya kusikia lolote bali ni kuonyesha tu wametimiza lengo ambalo ni kijaza mkutano...Hata asipo chekekesha wao ni kucheka tu na vigelegele.Ni kawaida ya CCM na ndiyo tofauti na CHADEMA,wao mikutano hutawaliwa na ukimya na utulivu ili watu wapate neno...Hebu mwambie Samia ahame location baada ya hapo kama atapata watu...Ni mkuatano mmoja tu kwa siku ndiyo anaoumudu.CHADEMA mikutano 7 kwa siku inawezekana na watu wanajaa na ni kwa muda wowote ule.Nilikuwepo Magu na Nyehunge +255 mikutano ya Mbowe ilipigwa saa 12 asubuhi na nyomi lilikuwa la hatari...watu walianza kumiminika saa 10 za usiku na ni miji midogo tu.Hapo pana wanafunzi kibao pia wamefuatwa mashuleni kuja kujaza mkutano wamevalishwa njano na kijani tu.
 
Kinachotakiwa kutenganishwa ni shughuli za serikali, na zile za chama. Masuala ya serikali ni ya watu wote, masuala ya chama ni ya wanachama.

Nitakupa mfano mdogo. Je, kukitokea vita na nchi nyingine, utashauri Ssh atangaze vita kama Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania, au afanye hivyo kama Mwenyekiti wa Ccm?

Hiki tunachokizungumza tayari kipo ktk sheria zetu. Tatizo Ccm ina utamaduni mbaya wa kukiuka sheria na katiba.
 
Ma Sha Allah mama anatawala Kiislam kabisa, kimya kimya anafanya mabo yake, bila kelele bila kujimwambafai hata akitukanwa.

Uislam mwema sana.
Udini na ugaidi wenu utafika mwisho, ufiraji na usagaji utakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…