Pre GE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Crap. Soma mada uelewe. Usipende kuropoka.
Mama Samia spidi yake ya kuleta maendeleo ni kali haijwahi kutokea.

Tanzania sasa ni tayari inaweza kuilisha Afrika Mashariki yote bila kutetereka.

Umesikia kuhusu Kariakoo Festival?
 
Kama Leo ufahamu

Kabla ya Rais ajatangaza vita laazima akutane na Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM kwa maana CCM ndio wenye serikali na yeye ni Mwenyekiti wa Kikao hicho

Kama CCM inakiuka Sheria mkuu wewe kama Mtanzania una haki ya kwenda mahakamani na kushtaki Ili Wakati mwingine CCM isikuke Sheria za nchi

Hakuna mwanasiasa utamtenganisha na chama chake daima

Labda kama Siasa umeivamia
 
Labda siasa za Tanzania ambazo hazina viwango. Kwenye nchi za wenzetu nafasi ya Mwenyekiti wa Chama kutenganishwa na ile ya Raisi / Waziri Mkuu / Mkuu wa nchi. Hali hiyo inawezesha chama kuisimamia serikali yake. CCM inakiuka sheria na pia inakosa ustaarabu na uungwana wa kisiasa. Kuna mambo mengi CCM inayafanya kana kwamba bado tuko ktk mfumo wa chama kimoja, kitu ambacho sio afya kwa siasa zetu, na umoja wa taifa letu.
 
Upepo umekaa vibaya. Uwezekano wa CCM kushinda kwenye sanduku/Box la kura hakuna na wanajua. Wanatapatapa wananchi wameshachoka. Hata waliowategemea wanaona kabisa hali mbaya. Wameanza sasa kutoa Siri za wizi wao na bado. Hv naangalia chawa wa mama Star tv. Eti wanashindana atakayetangaza vizuri kazi za Samia apewe tuzo. Huku waTanganyika wote tunajua kuwa asilimia kubwa anamalizia miradi ya MAGUFULI. waTanganyika wa leo siyo wa mwaka 1947. Angalia mkutano wa Chadema wa Kijijini Cha Kamsamba mwambao mwa Ziwa Rukwa. Angalia mkutano wa Kiwila Tukuyu. Hakuna wasanii, hakuna Maroli ya kubeba watu. You tube
 
Hili limama lina uchu wa madaraka ili liendelee kuuza rasilimali za Tanganyika. Liliaza kampeni tangu lilipoapishwa, linatumia mafisadi kuliweka kwenye mabango nchi nzima. Kwa tamaa hizi linapaswa kuogopwa kama ukoma
Mpaka 2025 wananchi watakuwa wameelewa. waTanganyika wa leo siyo wa mwaka 47
 
Sasa hivi kila mtapomuona Rais Mama Samia mtaona ni kampeni tu. Uoga huo.

Anatembelea nchi anayoitawala kutazama kinachofanyika nini na nini watu wanahitaji.

Msijiharie, bado mapema.
Mtu mwwnyew mweupe kichwani nani ajiharie kwa kumuogopa, yeye ndio muoga ndio maana hajiamini anaanza kampeni nje ya muda rasmi.
 
Kilaza.a tu yule
 
Mtu mwwnyew mweupe kichwani nani ajiharie kwa kumuogopa, yeye ndio muoga ndio maana hajiamini anaanza kampeni nje ya muda rasmi.
Kampeni bado, anatembelea miradi yake na kuanzisha mipya, mmeanza kujamba jamba.

Hivi kwa akili yenu kuna upinzani upi mwaka huu na ujao wa kuishinda CCM?
 
Huku kwetu Zanzibar wanawake wako kundi la watoto ndio maana hatuwezi kuwapa urais wa nchi.
Hata kwa wakristo Yesu hakumteua mtume mwanamke. Ni makosa makubwa tutakayoyajutia kuongozwa na mwanamke ktk ngazi ya Rais.
Mbona Marekani hawajawahi kumwamini mwanamke na kumpa nafasi ya kuwa rais?
Tukome na tujifunze amalizie kiporo cha Jpm arudi kizimkazi au aende uarabuni kwa wajomba zake akapumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…