Yawezekana Mbowe asiwe gaidi, ila kwamba kila kitu hawezi kufanya.Hivi Mbowe alijificha lini Nairobi?
Hivi Mama anajua kuwa kusema uongo ni dhambi??
Mahojiano na salim kikeke.
Inaonekana rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu....
Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama sasa hivi sio tu anaupiga mwingi bali anakuwa offside.
Ukishakuwa rais hasa wa nchi maskini kama Tanzania lazima ufungishwe ndoa na mapepo ya ukatili, mauaji na roho mbayaKwaivo kuhoji katiba ni ugaidi? Yaan yule mama ni mtu anaweza kukunyonga huku anakurembulia macho anakutuliza nyamaza mwanangu haiumi
Umemsikiliza mama vizuri?kwa hiyo kosa ni kuanza kuhoji katiba sasa? ccm ni mijinga sana
Kabisa!Bila kuzunguka mbuyu hili si jepesi kwa Mbowe. Nafikiri chama kijipange tofauti na waache mihemko! Kitu kimesukwa kiustadi mno. Mama kaongea kilaini lakini kuna ujumbe mzito katuma.
Na Kuna ajabu gani mfanya biashara Kama Mbowe kuwa Nairobi ,yaani haata mamangu mwenye Elimu ya Watu Wazima hawezzi kutoaa hoja za kiwangi Cha chininkama hiki!Muulizeni Dikteta Samia kuna ubaya gani kudai katiba?
Sasa nimeamini, Mbowe anakesi ya kujibu!!
Mh Raisi hawezi, hawezi, nasema tena hawezi kuwa na malumbano na Mbowe bila kuwepo hicho kilichopo kwa Mbowe, Chadema watulie tulii, mbowe ajibu
Kua Nairobi kunauhusiano na Ugaidi!Yawezekana Mbowe asiwe gaidi, ila kwamba kila kitu hawezi kufanya.
Wewe ni bodyguard wa Mbowe kwamba kula sehemu unakuwa nae? Au labda wewe ni mke wake kwamba lazima akuage kila anapokwenda?
System za usalama za Kenya naza hapa Tz zilithibitisha hilo, tuletee data zako zinazoonyesha kuwa huo ni uongo. Yaani Rais atasingizia kwa kutaja jina la nchi nyingine kizembe tu etieee[emoji23].
People can push you to the limit...... Kuhusu udhalimu she's notMaza dhalimu huyu
Mama anafungua nchi!Ina maana alijificha kwa kuwa alienda Nairobi, au?!
Lakini tu-assume alijificha kwa sababu kila mmoja anafahamu viongozi wa upinzani maisha yao yalikuwa hatarini!!! Sasa tatizo lipo wapi kwa yeye kudai katiba akitokea "mafichoni"?