Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Hivi Mbowe alijificha lini Nairobi?

Hivi Mama anajua kuwa kusema uongo ni dhambi??
Yawezekana Mbowe asiwe gaidi, ila kwamba kila kitu hawezi kufanya.

Wewe ni bodyguard wa Mbowe kwamba kula sehemu unakuwa nae? Au labda wewe ni mke wake kwamba lazima akuage kila anapokwenda?

System za usalama za Kenya naza hapa Tz zilithibitisha hilo, tuletee data zako zinazoonyesha kuwa huo ni uongo. Yaani Rais atasingizia kwa kutaja jina la nchi nyingine kizembe tu etieee[emoji23].
 
Mtu anayejificha anatokaje nje ya nchi bila kukamatwa? Na kama alijificha alipokuwa akiingia nchini kwanini hakukamatwa? Uongo mwanzo mwisho!
Mahojiano na salim kikeke.
Inaonekana rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu....
Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae
 
CCM
2875004_1628441461282.png
 
Bila kuzunguka mbuyu hili si jepesi kwa Mbowe. Nafikiri chama kijipange tofauti na waache mihemko! Kitu kimesukwa kiustadi mno. Mama kaongea kilaini lakini kuna ujumbe mzito katuma.
Kabisa!

Mimi ninachowashangaa zaidi chadema ni kufikiri Samia ni mwema sana ila haya yanayotokea kuna genge gani sijui linamzunguka mama.

Yani hata baada ya Magufuli kufariki bado wanafikiri haya yanatokea sababu ya Magufuli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa kuna shekeli zilikuwa zinakuja kupitia Irobi kwa ajili ya kazi, zilikuwa zinajulikana
 
Yawezekana Mbowe asiwe gaidi, ila kwamba kila kitu hawezi kufanya.

Wewe ni bodyguard wa Mbowe kwamba kula sehemu unakuwa nae? Au labda wewe ni mke wake kwamba lazima akuage kila anapokwenda?

System za usalama za Kenya naza hapa Tz zilithibitisha hilo, tuletee data zako zinazoonyesha kuwa huo ni uongo. Yaani Rais atasingizia kwa kutaja jina la nchi nyingine kizembe tu etieee[emoji23].
Kua Nairobi kunauhusiano na Ugaidi!
 
Ina maana alijificha kwa kuwa alienda Nairobi, au?!

Lakini tu-assume alijificha kwa sababu kila mmoja anafahamu viongozi wa upinzani maisha yao yalikuwa hatarini!!! Sasa tatizo lipo wapi kwa yeye kudai katiba akitokea "mafichoni"?
Mama anafungua nchi!

Mama anarudisha hela mtaani ili sisi mibavicha tuwe tunaziokota

Mama anaupiga mwingi sana! Uchumi uko juu, mafuta bei chini, bidhaa bei chini.

Mama anawakomesha mataga, sukuma gng na kufuta legacy.

Bashiru na Polepole wanakiona cha moto.
 
Back
Top Bottom