Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Mahojiano na salim kikeke.
Inaonekana rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu....
Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae
Na bado utamjua zaidi na hata ukimjua haitakusaidia kitu
 
Angesema Lisu alijificha Nairobi ningemuelewa. Lakini Mbowe mbona ametoka msibani kisha akaenda Mwanza, unasemaje huyu mtu alijificha.

Pia kudai Katiba wala hakujaanza mwaka huu.
Hapo kabla ya msiba huyu malyenge alikua hapo Nairobi akasema alikua Dubai mara nchi za nje Ughaibuni kufanya biashara mara marehemu mwenda zake kafa huyo karudi na malyenge yake mara kaanza tena katiba Mpya lazima!

Mama atuite ikulu alipomaliza tu msiba wa kakaake.

Ndo haya yanatokea sasa sijui wa kulaumiwa nani?

Akili yangu hii ya shule Mlimba huko St Kanumba mama yenu atabadili vipi katiba wakati itatakiwa aondoke pia.

Manyumbu yanalishwa matango pori badala yakae home kula ugali kwao yanaenda kuandamana eti Free Man Mbowe,hilo ni jina lake pumbavu nyie
 
Wewe ni Upepo wa Pesa kweli. Unaweza kutetea wajinga? Kama kweli Mbowe ana makosa hayo mnayojaribu kumhukumu kwayo basi mtabaki salama. Lakini kama ni mabambikizi; nawambia halitasalia jiwe juu ys jiwe kwa wahusika wote
 
Kwani ni dhambi kuanza harakati za katiba mpya?
Nami ndio nashangaa.

Kwani suala la katiba kweli limeanzishwa na Mbowe???? Si na yeye alikuwa mwenyekiti wa bunge la katiba?

Afrika ina matatizo mengi na ni matumaini ya kila mmoja kuwa walau wanaopewa nafasi za kiuonozi basi wawe wanaelewa hata 30% ya matatizo yetu
 
Washashindwa hoja, wanatapatapa tu
 
Washashindwa hoja, wanatapatapa tu
 
Bila kuzunguka mbuyu hili si jepesi kwa Mbowe. Nafikiri chama kijipange tofauti na waache mihemko! Kitu kimesukwa kiustadi mno. Mama kaongea kilaini lakini kuna ujumbe mzito katuma.

Ujumbe upi mzito?

Amandla...
 
Mama haupigi mwingi tena?nawauliza nyie bavicha
[emoji23][emoji23]
Mama kapulizia dawa ya rungu katika banda la ufipa,mende wanatapatapa πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜ Miezi mitatu hawa Chagadema walitupa shida sana, walianza kutukanana na kuwapa watu majina ya maajabu,mala Matanga,mala Sukuma gang.

Mama kaanza vizuri kapiga kwenye utosi kwenyewe, kitu ambacho Magufuri akukifanya pamoja na kutukanwa kote, Mungu kawalipa kwa matusi yao
 
Malumbano mapyaaaa yataanza sasa pengine ndio itaharibu zaidi Uhusiano wa Wanasiasa...
 
Chini ya Magufuli kulikuwa na mtu ambaye angeweza kupanga Ugaidi? Kama.waliweza kuwatrap akina Nape na Membe wangeshindwa nini.. kinachofanyika ni mama kuharibu hii kesi ili ionekane kaingilia mahakama. Hakuna kesi hapo.
 
Sasahivi ndio mnajua,mlipokuwa mkimsifia kuwa anaupiga mwingi, Matanga na Sukuma gang wanapata tabu,acha nanyi Chagadema mpate tabu kidogo,ili tuimbe wimbo mmoja πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„
Madhara ya mke wa 3 kuwa mtawala wa nyumba ndiyo haya sasa nyumba hata ikiungua moto yeye hajali
 
Sasa nimeamini, Mbowe anakesi ya kujibu!!

Mh Raisi hawezi, hawezi, nasema tena hawezi kuwa na malumbano na Mbowe bila kuwepo hicho kilichopo kwa Mbowe, Chadema watulie tulii, mbowe ajibu
Hawa si walisema chanjo haifai leo inafaa.... Hawa hawa walisema Hakuna corona ila leo wanaikiri. Ndio wakisema Mbowe ni gaidi tuwaamini??

Are you serious? Kabisa awe gaidi na Sabaya awe hai mpaka leo?
 
Upinzani umechbuka chambuka 🀣🀣🀣🀣
Samia kaongea kama amiri jeshi leo! Safi sana...nimemuelewa kuwa hataki maandamano muda huu wa kujenga nchi, ukifika wakati wa maandamano wataruhusiwa!
 
Waseme Ili wamsitue walikuwa wanamlia timing tuu aingie 18 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hiyo kesi ilikuwepo tokea siku ya matokeo kutangazwa eti walipanga kulipua vituo ghafla akaachiwa yeye na Boniface Jacob!! Eti leo ndio ushahidi unapatikana baada ya kudai katiba??

Btw Mbowe alikua Kenya na kina Mudavadi na Lissu na ile convention ilikua public kabisa na akarejea bongo. Sasa kujificha huko ndio vipi?? Alishiriki chadema dijitali mwezi mzima.... Akaenda kanda zote.... Kaenda kwa mazishi.... Kahudhuria kongamano la katiba ndio eti alikua anajificha??

Huyu mama ni shetani na anguko lake linakaribia
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…