johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Janabi huyu Katibu mkuu mtarajiwa?Mnatoa kibali cha uwindaji na uuaji, unatoa askari wa kuambatana na muwindaji kwenda kushuhudia mauaji, unaweka fedha kibindoni kwa siri, kisha unataka CDM wafanye nini!?
Bwashee dalili za ugonjwa uliokuwa nao, rejea maoni ya Dkt. Janabi hivi karibuni.
Jinga kubwa! Kwani huyo mamba angeishi maisha bila kufa!Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu
Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
😂😂😂😂🌟Slaa angemuona kabla hajauliwa wakati jamaa ndo analenga shabaha au?
Kwani huyu si imeibuliwa baada ya kifo chake tu?
Hata hivyo kwanini mnahusisha kuibuliwa haya makashfa na chadema, ccm wao hawawezi kulalamika kwa vitu kama hivi?
New member 😂😂😂😂🌟Jinga kubwa! Kwani huyo mamba angeishi maisha bila kufa!
Sinibora inchi imeingiza kipato hata kama kidogo, kuliko mwisho wasiku angekula watu na baadaye yeye kufa kwa amri ya mungu inchi ingeambulia nini?
Tafadhali usitupotezee muda alaa! [emoji3][emoji3][emoji3]
Bado hatua chache uanze kuokota makopoJanabi huyu Katibu mkuu mtarajiwa?
CHADEMA wanalaumiwaje hapo?Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu
Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Nchi gani ambayo ilibadilisha uongozi wa kivyama ilibaki pale pale?Nchi hii hakuna upinzanii ni upuuzii mtupu huu ndio ukwelii mchungu wapo kimaslahii Yao tuu,,wao kitu kikubwa kwao ni katiba nzurii ambayo itawapa urahisii wa kushinda uchaguzii,trust me hata upinzanii wakipewaa serikalii bado mambo yatabakii yaleyale mifano ipo mingi kwenye nchi za kiafrika wapinzani walipochukua serikalii mambo yalibakii kuwa vile vile kiufupii Afrika tumelaaniwa,ni wabinafsii hatuna akilii na hili la kuwindwa kwa mamba mkubwa kama huyo inadhihirisha wazi Waafrika tulivyo hatuna akilii.
Ni fursa 😂Bado hatua chache uanze kuokota makopo
Hii comment imeprove kile nilichokua nasemaNi fursa 😂
Wewe unaokota nini?
Wewe unaokota nini au unasubiri kuokotewa?Hii comment imeprove kile nilichokua nasema
Hata vichaa wanazeeka
Yaaan ww box sana kwan hakuna vyanzo vya kupata pesa zaidi ya mamba kweli CCM HOVYOJinga kubwa! Kwani huyo mamba angeishi maisha bila kufa!
Sinibora inchi imeingiza kipato hata kama kidogo, kuliko mwisho wasiku angekula watu na baadaye yeye kufa kwa amri ya mungu inchi ingeambulia nini?
Tafadhali usitupotezee muda alaa! [emoji3][emoji3][emoji3]
lakini yule mamba hajafa mbonaEnzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu
Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
CHADEMA si kwamba hawaoni. Wameamua kuwaachia wananchi waendelee kupambana na maisha yao wanayoyapenda. Kwani umesikia wamezungumza chochote hata kwenye kuongezeka kwa bei (Bidhaa, nauli n.k)Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu
Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Linchi letu limefikia huko wazee twendeni nalo tu hatuna watu wa kulinda maliasili zetu tena. People ziko busy kupiga pesa tu, kulinda watawala, kulamba asali na kushindana kwenye uchawa.
Nchi iko kwenye auto pilot acha ijiendee tu mpaka akili itakapotukaa sawa sijui ni lini.
Lakini wakikwambia ingia barabarani unajificha uchochoroni Leo unalaumu wanaokupa mbinu za kudai haki. Hakika we ni zuzu kama watanzania wenzioEnzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu
Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu
Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia