Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

Mnatoa kibali cha uwindaji na uuaji, unatoa askari wa kuambatana na muwindaji kwenda kushuhudia mauaji, unaweka fedha kibindoni kwa siri, kisha unataka CDM wafanye nini!?

Bwashee dalili za ugonjwa uliokuwa nao, rejea maoni ya Dkt. Janabi hivi karibuni.
Janabi huyu Katibu mkuu mtarajiwa?
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Jinga kubwa! Kwani huyo mamba angeishi maisha bila kufa!
Sinibora inchi imeingiza kipato hata kama kidogo, kuliko mwisho wasiku angekula watu na baadaye yeye kufa kwa amri ya mungu inchi ingeambulia nini?
Tafadhali usitupotezee muda alaa! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Slaa angemuona kabla hajauliwa wakati jamaa ndo analenga shabaha au?

Kwani huyu si imeibuliwa baada ya kifo chake tu?

Hata hivyo kwanini mnahusisha kuibuliwa haya makashfa na chadema, ccm wao hawawezi kulalamika kwa vitu kama hivi?
😂😂😂😂🌟
 
Jinga kubwa! Kwani huyo mamba angeishi maisha bila kufa!
Sinibora inchi imeingiza kipato hata kama kidogo, kuliko mwisho wasiku angekula watu na baadaye yeye kufa kwa amri ya mungu inchi ingeambulia nini?
Tafadhali usitupotezee muda alaa! [emoji3][emoji3][emoji3]
New member 😂😂😂😂🌟
 
Nchi hii hakuna upinzanii ni upuuzii mtupu huu ndio ukwelii mchungu wapo kimaslahii Yao tuu,,wao kitu kikubwa kwao ni katiba nzurii ambayo itawapa urahisii wa kushinda uchaguzii,trust me hata upinzanii wakipewaa serikalii bado mambo yatabakii yaleyale mifano ipo mingi kwenye nchi za kiafrika wapinzani walipochukua serikalii mambo yalibakii kuwa vile vile kiufupii Afrika tumelaaniwa,ni wabinafsii hatuna akilii na hili la kuwindwa kwa mamba mkubwa kama huyo inadhihirisha wazi Waafrika tulivyo hatuna akilii.
Nchi gani ambayo ilibadilisha uongozi wa kivyama ilibaki pale pale?
 
Jinga kubwa! Kwani huyo mamba angeishi maisha bila kufa!
Sinibora inchi imeingiza kipato hata kama kidogo, kuliko mwisho wasiku angekula watu na baadaye yeye kufa kwa amri ya mungu inchi ingeambulia nini?
Tafadhali usitupotezee muda alaa! [emoji3][emoji3][emoji3]
Yaaan ww box sana kwan hakuna vyanzo vya kupata pesa zaidi ya mamba kweli CCM HOVYO
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
lakini yule mamba hajafa mbona
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
CHADEMA si kwamba hawaoni. Wameamua kuwaachia wananchi waendelee kupambana na maisha yao wanayoyapenda. Kwani umesikia wamezungumza chochote hata kwenye kuongezeka kwa bei (Bidhaa, nauli n.k)
 
Linchi letu limefikia huko wazee twendeni nalo tu hatuna watu wa kulinda maliasili zetu tena. People ziko busy kupiga pesa tu, kulinda watawala, kulamba asali na kushindana kwenye uchawa.

Nchi iko kwenye auto pilot acha ijiendee tu mpaka akili itakapotukaa sawa sijui ni lini.

Na wapo vibaraka wao hapa wanatetea kwa mamba adhimu kama huyo kuuawa!!
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Lakini wakikwambia ingia barabarani unajificha uchochoroni Leo unalaumu wanaokupa mbinu za kudai haki. Hakika we ni zuzu kama watanzania wenzio
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia

Usipende kumtaja Yesu Kristo kwenye mambo yasiyokuwa na maana
 
Back
Top Bottom