Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

Mmeuza mali zenu kishenzi kwa bei ya kutupa mnataka kugawa bandari kwa wajomba? Pelekeni ushenzi wenu huko!
Mali gani tumeuza ?

East Africa Muslim Welfare ndio jumuiya ya Waislam, ilivunjwa na Serikali na Serikali ikaunda Bakwata, Bakwata Ikiuza Mali za Waislam badala ya Kulaumu Serikali unalaumu Waislam ulivyojaa chuki kifuani

Jumuiya ya Wazazi ( CCM) ikiuza Shule ilizopora za Umma uende kumlaumu Baba yako kwa kuwa nae ni Mzazi?
 
Serikali ndo imeuza mali za Bakwata? Zile nyumba zote na viwanja imeuza serikali? Hela zimeliwq na serikali? Mkiambiwa ukweli mnasema chuki kubalini hamna akili na ni wadhaifu sana msioweza kujisimamia!
 
Kama vp na yy ateme Nyongo kama pale Mara..,
 
Uhovyo wa mkataba uko wapi, tamko Zima la tec mbona hawajasema uhovyo wake zaidi ya kutetea interests zao tu zisipokonywe!!
 
Serikali ndo imeuza mali za Bakwata? Zile nyumba zote na viwanja imeuza serikali? Hela zimeliwq na serikali? Mkiambiwa ukweli mnasema chuki kubalini hamna akili na ni wadhaifu sana msioweza kujisimamia!
Ukiona kelele zinazidi Jua umegusa kwenyewe

Kupitisha bidhaa za kibiashara kwa mgongo wa Taasisi za kidini umepatikana muarobaini wake
 
Kuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda

Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya m

Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
Kama ilivyo hata shetan ana mazuri yake. Tujikite kwenye hoja kwa maslahi mapana ya taifa bila kuzingatia aliyesema ni mzinzi, mchawi, mshirikina, kafiri, muislam, mkristo, mlawiti, shetani mradi kuna hoja yenye manufaa.
 
Umemaliza kila kitu mwamba
 
Pohamba umeandika busara za kiuutu uzima. Kila kitu kinatii namna muda unavyopita. Ni nguvu ya Mungu pekee isiyotii kupita kwa kasi kwa muda.

Suala likishapita bungeni na likajadiliwa na kupigiwa kura na wabunge zaidi ya mia tatu tayari ni sheria inayoweza kutumika.

Walichofanya TEC ni sawa na maagizo ya Yesu kwamba mkiingia kwenye mji na wakawakataa basi nyinyi panguseni viatu vyenu na muondoke mahali hapo, wamejivua uhusika wa lolote litakalotokea huko mbele ya safari na ni agizo kwa waumini wote makanisani kwamba wasijihusishe na hiyo biashara.

Tunarudi kule kule kwenye busara ya namna muda unavyopita kwa kasi.
 
sisi waislamu mnatuchangaya sasa, hatujui tufanye nini.

tuwajibu kwanza wakatoliki kupitia ule walaka wao au tuvute subira kusubiri tamko la KKKT then tutoe kauli za jumla jumla?.
 
Ukiona kelele zinazidi Jua umegusa kwenyewe

Kupitisha bidhaa za kibiashara kwa mgongo wa Taasisi za kidini umepatikana muarobaini wake
Mbona unapinda pinda? Nimekuuliza serikali ndo imeuza mali za bakwata mbona unakimbia swali na kudakia vihoja vya kipumbavu?
 
Mbona unapinda pinda? Nimekuuliza serikali ndo imeuza mali za bakwata mbona unakimbia swali na kudakia vihoja vya kipumbavu?
Serikali ndio Bakwata, sijajibu swali hilo kwa kuwa jibu lake ni obvious
 
Serikali ndio Bakwata, sijajibu swali hilo kwa kuwa jibu lake ni obvious
Acha ujinga we kima mmeuza mali kwa tamaa zenu na bei ya kutupa leo mmebaki kama hayawani!!
 
Acha ujinga we kima mmeuza mali kwa tamaa zenu na bei ya kutupa leo mmebaki kama hayawani!!
Tatizo lako una jazba, matusi ya nini?

Jumuiya ya Waislam iliyokuwepo ilivunjwa na dola, na Dola ikaanzisha Bakwata na kuwapa Vipenyo kuendesha Bakwata kuanzia 1960s mwishoni mpaka leo?

ina maana unajifanya hujui kuwa kilio kikuu cha Waislam ni Bakwata kutambulika kama jumuiya ya Waislam wakati haina baraka za Waislam wenyewe ?
 
Hiyo sherehe inaanza saa ngapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…