baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,129
- 4,028
Anajisahaulisha tuHuyo huyo Methodius Kilaini ndiye alimtangaza mwislam mswahili JAKAYA MRISHO KIKWETE kuwa ni chaguo la Mungu umesahau?
Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajisahaulisha tuHuyo huyo Methodius Kilaini ndiye alimtangaza mwislam mswahili JAKAYA MRISHO KIKWETE kuwa ni chaguo la Mungu umesahau?
Hawawezi, hayo mambo aliyaweza mwadhamaKKKT watoe waraka wao siku hiyo. 😎😎
Mali gani tumeuza ?Mmeuza mali zenu kishenzi kwa bei ya kutupa mnataka kugawa bandari kwa wajomba? Pelekeni ushenzi wenu huko!
Serikali ndo imeuza mali za Bakwata? Zile nyumba zote na viwanja imeuza serikali? Hela zimeliwq na serikali? Mkiambiwa ukweli mnasema chuki kubalini hamna akili na ni wadhaifu sana msioweza kujisimamia!Mali gani tumeuza ?
East Africa Muslim Welfare ndio jumuiya ya Waislam, ilivunjwa na Serikali na Serikali ikaunda Bakwata, Bakwata Ikiuza Mali za Waislam badala ya Kulaumu Serikali unalaumu Waislam ulivyojaa chuki kifuani
Jumuiya ya Wazazi ( CCM) ikiuza Shule ilizopora za Umma uende kumlaumu Baba yako kwa kuwa nae ni Mzazi?
Kama vp na yy ateme Nyongo kama pale Mara..,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Uhovyo wa mkataba uko wapi, tamko Zima la tec mbona hawajasema uhovyo wake zaidi ya kutetea interests zao tu zisipokonywe!!Imeisha kitu gani?
Mamako mwenyewe hapo hajiamini, anajua anaweza kuondoka hapo, nyuma jamaa wanatoa tamko lao na kupinga ule mkataba wa hovyo wa bandari.
Usichokijua, hii issue ya kuhudhuria inakuwa imeshapangwa muda mrefu, kwa hiyo kinachotokea hapo hakikutarajia kama hali ya kisiasa itakuwa kama ilivyo kwa sasa nchini, na hakiwezi kubadilisha msimamo wa KKKT juu ya kile walichopanga kuongea kuhusu ule mkataba wa hovyo.
Ukiona kelele zinazidi Jua umegusa kwenyeweSerikali ndo imeuza mali za Bakwata? Zile nyumba zote na viwanja imeuza serikali? Hela zimeliwq na serikali? Mkiambiwa ukweli mnasema chuki kubalini hamna akili na ni wadhaifu sana msioweza kujisimamia!
Kama ilivyo hata shetan ana mazuri yake. Tujikite kwenye hoja kwa maslahi mapana ya taifa bila kuzingatia aliyesema ni mzinzi, mchawi, mshirikina, kafiri, muislam, mkristo, mlawiti, shetani mradi kuna hoja yenye manufaa.Kuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda
Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya m
Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
Umemaliza kila kitu mwambaKuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda
Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya muda maisha yanaendelea kama kawaida
kwa waliopevuka kiakili baada ya uchaguzi wa 2010 may be naweza kuwajulisha kuwa Kanisa lilitembea bega kwa bega na Katibu wao wa zamani Wilbroad Slaa kuhakikisha wanamuangusha Rais Jakaya Kikwete
Walitoa Waraka nyakati za Kampeni kutaka Wakristo wote wachague Mgombea Mchamungu ( Dr Slaa) lakini kama ilivyo kawaida yetu Raia wa kawaida…tunawasikiliza Viongozi wetu wachochezi, tunawashangilia lakini ikifika wakati wa Maamuzi huwa tunaamua kwa Maslahi ya Nchi yetu
Waraka umesomwa utajadiliwa na utakuwa talk of the town kwa wiki kadhaa baada ya hapo Maisha yataendelea kama kawaida.
kama kuna Mtu ana rekodi ingependeza sana angetuwekea ma nyaraka kadhaa yanayotolewa na kanisa yaliwahi kumtisha Rais gani wa Nchi hii?
Tena kile ki Mzee Mwinyi ndio Hatare kabisa …anawasikiliza mnavyomtukana vyema sana na hata ikibidi anaweza akawaomba radhi lakini akitoka hapo anaendelea na mambo yake kama kawaida
Alimfanyia hivyo Nyerere kwny kufuta Azimio la Arusha na kuruhusu Uhuru wa watu kujieleza …kanisa nalo likamsakama sana lakini aliwaheshimu sana lakini hakuruhusu wachezee Mamlaka yake ya ki dola, the same to Mwana kijiji mwenzangu wa Msoga …tena mnakutana kwny Vikao mnampangia mikakati, kabla ya kutoa press release ya Waraka tayari yeye ana nakala kupitia Wandani wake waliopo Kanisani
Dola inazijua sana Taasisi za kidini pamoja na mapungufu yake, hayati JPM alipoanzisha heka heka ya vyeti feki na kukagua Fedha za Serikal kila eneo ikiwemo zinazokwenda kwny Taasisi za Kidini alikutana na Madudu mengi sana hadi Yule Sister Mkuu wa Idara ya Fedha na Bajeti wa pale Bugando alijirusha kutoka ghorofani na kufariki papo hapo
Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
Pohamba umeandika busara za kiuutu uzima. Kila kitu kinatii namna muda unavyopita. Ni nguvu ya Mungu pekee isiyotii kupita kwa kasi kwa muda.Kuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda
Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya muda maisha yanaendelea kama kawaida
kwa waliopevuka kiakili baada ya uchaguzi wa 2010 may be naweza kuwajulisha kuwa Kanisa lilitembea bega kwa bega na Katibu wao wa zamani Wilbroad Slaa kuhakikisha wanamuangusha Rais Jakaya Kikwete
Walitoa Waraka nyakati za Kampeni kutaka Wakristo wote wachague Mgombea Mchamungu ( Dr Slaa) lakini kama ilivyo kawaida yetu Raia wa kawaida…tunawasikiliza Viongozi wetu wachochezi, tunawashangilia lakini ikifika wakati wa Maamuzi huwa tunaamua kwa Maslahi ya Nchi yetu
Waraka umesomwa utajadiliwa na utakuwa talk of the town kwa wiki kadhaa baada ya hapo Maisha yataendelea kama kawaida.
kama kuna Mtu ana rekodi ingependeza sana angetuwekea ma nyaraka kadhaa yanayotolewa na kanisa yaliwahi kumtisha Rais gani wa Nchi hii?
Tena kile ki Mzee Mwinyi ndio Hatare kabisa …anawasikiliza mnavyomtukana vyema sana na hata ikibidi anaweza akawaomba radhi lakini akitoka hapo anaendelea na mambo yake kama kawaida
Alimfanyia hivyo Nyerere kwny kufuta Azimio la Arusha na kuruhusu Uhuru wa watu kujieleza …kanisa nalo likamsakama sana lakini aliwaheshimu sana lakini hakuruhusu wachezee Mamlaka yake ya ki dola, the same to Mwana kijiji mwenzangu wa Msoga …tena mnakutana kwny Vikao mnampangia mikakati, kabla ya kutoa press release ya Waraka tayari yeye ana nakala kupitia Wandani wake waliopo Kanisani
Dola inazijua sana Taasisi za kidini pamoja na mapungufu yake, hayati JPM alipoanzisha heka heka ya vyeti feki na kukagua Fedha za Serikal kila eneo ikiwemo zinazokwenda kwny Taasisi za Kidini alikutana na Madudu mengi sana hadi Yule Sister Mkuu wa Idara ya Fedha na Bajeti wa pale Bugando alijirusha kutoka ghorofani na kufariki papo hapo
Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
Mbona unapinda pinda? Nimekuuliza serikali ndo imeuza mali za bakwata mbona unakimbia swali na kudakia vihoja vya kipumbavu?Ukiona kelele zinazidi Jua umegusa kwenyewe
Kupitisha bidhaa za kibiashara kwa mgongo wa Taasisi za kidini umepatikana muarobaini wake
si alilipwa kwa kazi hiyo na Wana Mtandao ?Huyo huyo Methodius Kilaini ndiye alimtangaza mwislam mswahili JAKAYA MRISHO KIKWETE kuwa ni chaguo la Mungu umesahau?
Serikali ndio Bakwata, sijajibu swali hilo kwa kuwa jibu lake ni obviousMbona unapinda pinda? Nimekuuliza serikali ndo imeuza mali za bakwata mbona unakimbia swali na kudakia vihoja vya kipumbavu?
Acha ujinga we kima mmeuza mali kwa tamaa zenu na bei ya kutupa leo mmebaki kama hayawani!!Serikali ndio Bakwata, sijajibu swali hilo kwa kuwa jibu lake ni obvious
Tatizo lako una jazba, matusi ya nini?Acha ujinga we kima mmeuza mali kwa tamaa zenu na bei ya kutupa leo mmebaki kama hayawani!!
Hiyo sherehe inaanza saa ngapi!?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805