Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Acha jazba....Kwa nini amrehemu
Kwako lugha yoyote haina faida ?!!Inamsaidia nini mtu maishani kukariri kiarabu?
Hoja yako ni "invalid" mpaka hapo utakapokumbuka jina la huyo Shekhe na wadhifa wake pale makaoni petu BAKWATA.....Kwa umri wake anayajua vyema hayo unayoyasema. Jina limenitoka nikilikumbuka nitakutajia.
Lakini Allah hurehemu viumbe wote hapa duniani tu!!!Acha jazba....
"....huwa rrahmanu....."
Arrahma inaenea kwa viumbe wake wote......wote.....wote.....na si waislam tu.....
Bali "Arrahiim" ni jambo jengine kabisa....
Umesikia hau ?!!
Kwani yesu alikuwa mkristo-nasara kufuata kitabu cha Injili ?!!Kama ni hivyo yeye alikifuata kitabu cha injili je alikuwa mnasara...maana wanasara ni wale nanaofuata mafundisho ya injili na kuwaamini mitume wote wa nyuma ya injili ....
Lugha zote zina faida. Lakini hebu mlete mwarabu halafu mpe huyo ustazi anakariri kuruani aongee nae kiarabu kama ataweza hata kuomba maji.Kwako lugha yoyote haina faida ?!!
Akhira ni maisha ya baadaye....Lakini Allah hurehemu viumbe wote hapa duniani tu!!!
Kumbuka hilo!!!
Unataka kuniambia waarabu wanaojua vyema kiarabu hawaikariri hiyo Quran ?!!Lugha zote zina faida. Lakini hebu mlete mwarabu halafu mpe huyo ustazi anakariri kuruani aongee nae kiarabu kama ataweza hata kuomba maji.
Kujua lugha ni vizuri lakini kukariri kuruani ni upuuzi.
Hawana huo muda. Waache kuwaza kufanya uwekezaji wakakariri kuruani?Unataka kuniambia waarabu wanaojua vyema kiarabu hawaikariri hiyo Quran ?!!
Duuh....Hawana huo muda. Waache kuwaza kufanya uwekezaji wakakariri kuruani?
Watu weusi nyie ndio watumwa wa dini hizi.
Allah hamrehemu mtu aliyefariki ambaye si muuminiAkhira ni maisha ya baadaye....
Kwa hiyo jina Ar rahmaan huko Barzakh na baadaye ni "insignificant" ?!!
Mkuu unataka kusema huyo shekhe hakusema?. Ipo clip mitandaoni ya siku aliyosema maneno hayo.Hoja yako ni "invalid" mpaka hapo utakapokumbuka jina la huyo Shekhe na wadhifa wake pale makaoni petu BAKWATA.....
Sijakukatalia mkuu wangu....Mkuu unataka kusema huyo shekhe hakusema?. Ipo clip mitandaoni ya siku aliyosema maneno hayo.
Msikiti kwa mujibu wa huyo shekhe mzee ni kwamba kila kitu alifanya JK miaka ile lakini sifa waislam walikuja kumpa JPM.
Hata wakristu walifundishwa biblia na wazungu lakini leo hii mtu mweusi ndio anajidai anaijua kuruani au biblia kuliko hao mabwana zao waliowaletea dini ili wawatawale na kuwaibia mali zao.Duuh....
Mzee hebu kuwa "serious" kidogo...ha ha ha
Kwani hao watu weusi walifundishwa Quran na wachina?!!
Kwa hiyo waarabu hawasali na kuswalisha huko kwao kwani hakuna swala bila kuikariri Quran.....
Hebu "man up" kidogo
Mahakama ya Allah haiko mikononi mwako na haikuhusu....Allah hamrehemu mtu aliyefariki ambaye si muumini
Kwa hiyo hii leo hakuna wazungu mabingwa wa "canon laws"?!!Hata wakristu walifundishwa biblia na wazungu lakini leo hii mtu mweusi ndio anajidai anaijua kuruani au biblia kuliko hao mabwana zao waliowaletea dini ili wawatawale na kuwaibia mali zao.
Fungueni mafuvu hayo dini ni utapeli tu.
HIFDH is the art of memorizing Quran....Mashindano ya KUKARIRI Qurani.
Hawashindani kuficha Qurani kwenye masanduku halafu tuje tukague ya nani haikupotea na haikunyauka. Ndio kuhifadhi.
Wanashindana kukariri.
Mh.Makonda ni kiongozi mzuri....ana uhusiano mzuri sana na BAKWATA....Pesa za ujenzi aliwatafutia RC Makonda
Muhammad aliwaambia waislamu kuwa katika watu wa peponi wapo na manasara....sasa wewe unakuja na uongo wako kuwa manasara hakuna mchamungu wa kweli ππππ kwa hiyo tukuamini wewe au Muhammad aliye eleza kuhusu manasara wakweliAlifuata Injil lakini hakufuata biblia.Manaswara hawafuati Injil wanafuata biblia