Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Rais Samia Mgeni rasmi Mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu

Acha jazba....

"....huwa rrahmanu....."

Arrahma inaenea kwa viumbe wake wote......wote.....wote.....na si waislam tu.....

Bali "Arrahiim" ni jambo jengine kabisa....

Umesikia hau ?!!
Lakini Allah hurehemu viumbe wote hapa duniani tu!!!
Kumbuka hilo!!!
 
Kama ni hivyo yeye alikifuata kitabu cha injili je alikuwa mnasara...maana wanasara ni wale nanaofuata mafundisho ya injili na kuwaamini mitume wote wa nyuma ya injili ....
Kwani yesu alikuwa mkristo-nasara kufuata kitabu cha Injili ?!!
 
Hawana huo muda. Waache kuwaza kufanya uwekezaji wakakariri kuruani?

Watu weusi nyie ndio watumwa wa dini hizi.
Duuh....

Mzee hebu kuwa "serious" kidogo...ha ha ha

Kwani hao watu weusi walifundishwa Quran na wachina?!!

Kwa hiyo waarabu hawasali na kuswalisha huko kwao kwani hakuna swala bila kuikariri Quran.....

Hebu "man up" kidogo
 
Hoja yako ni "invalid" mpaka hapo utakapokumbuka jina la huyo Shekhe na wadhifa wake pale makaoni petu BAKWATA.....
Mkuu unataka kusema huyo shekhe hakusema?. Ipo clip mitandaoni ya siku aliyosema maneno hayo.

Msikiti kwa mujibu wa huyo shekhe mzee ni kwamba kila kitu alifanya JK miaka ile lakini sifa waislam walikuja kumpa JPM.
 
Sijakukatalia mkuu wangu....

Ili hoja yako iwe ni ya kifikra ni vyema ukanieleza kuwa huyo Shekhe ni fulani....ama ana wadhifa wa kuisimamia BAKWATA pale makao makuu....

Vinginevyo masheikh wako wengi sana....

Nataka niupime weledi wa sheikh huyo kwa kujua kwake thamani ya TAASISI NA UTAASISI....

Wako masheikh wanaipinga BAKWATA yetu....je hao ni wasemaji wa BAKWATA?!!
 
Duuh....

Mzee hebu kuwa "serious" kidogo...ha ha ha

Kwani hao watu weusi walifundishwa Quran na wachina?!!

Kwa hiyo waarabu hawasali na kuswalisha huko kwao kwani hakuna swala bila kuikariri Quran.....

Hebu "man up" kidogo
Hata wakristu walifundishwa biblia na wazungu lakini leo hii mtu mweusi ndio anajidai anaijua kuruani au biblia kuliko hao mabwana zao waliowaletea dini ili wawatawale na kuwaibia mali zao.

Fungueni mafuvu hayo dini ni utapeli tu.
 
Mashindano ya KUKARIRI Qurani.

Hawashindani kuficha Qurani kwenye masanduku halafu tuje tukague ya nani haikupotea na haikunyauka. Ndio kuhifadhi.

Wanashindana kukariri.
 
Kwa hiyo hii leo hakuna wazungu mabingwa wa "canon laws"?!!

Be serious mkuu
 
Mashindano ya KUKARIRI Qurani.

Hawashindani kuficha Qurani kwenye masanduku halafu tuje tukague ya nani haikupotea na haikunyauka. Ndio kuhifadhi.

Wanashindana kukariri.
HIFDH is the art of memorizing Quran....

HIFDH=HIFADHI

Asili ya neno hifadhi limetokana na kiarabu (hifdh)....

Unawezaje kuongelea neno la kiswahili kwa tambo kiasi hicho na ukasahau asili ya neno hilo.....

Hebu tuwe na "kiasi" katika kuongea "kihisia" yale tusiyoyajua....
 
Alifuata Injil lakini hakufuata biblia.Manaswara hawafuati Injil wanafuata biblia
Muhammad aliwaambia waislamu kuwa katika watu wa peponi wapo na manasara....sasa wewe unakuja na uongo wako kuwa manasara hakuna mchamungu wa kweli 😁😁😁😁 kwa hiyo tukuamini wewe au Muhammad aliye eleza kuhusu manasara wakweli
 
Back
Top Bottom