Vitendo siku zote ni kufanya? ukiwa kiongozi.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatiloa mijadala ya Bunge na kuongeza ni mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema, kipindi hiki ndugu zangu wabunge tunatakiwa kupitisha bajeti za sekta mbalimbali za serikali kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Naomba jikiteni sana huko, mengine tutayazungumza siku zinavyokwenda. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi"
What do you mean?Bunge lenyewe limejaa mataga walio zoea kumtukuza mtu mmoja tu! Sasa anategemea watajadili nini? Kama ni wapinzani wa kuwaoiga vijembe, nao hawapo!
Wacha tu tuendelee kushuhudia hayo madudu yao ya kutaka kumlinganisha yeye na mtangulizi wake.
Ananipa furaha.Huyu mama yuko vizuri Sana kichwani
Wabunge wa CCM hawana cha kujadili wawapo Bungeni zaidi tu ya vijembe kwa wapinzani na kuisifia serikali na Hayati Magufuli.What do you mean?
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana huko, mengine tutayazungumza siku zinavyokwenda. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi"
What do you mean?
Umeibuka toka wapi we fala? Unawashwa?Amewalenga wewe na wapuuzi wa aina yako.