Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Unahitaji ulinziKuna siri nitakuja kuitoa hapa mtabaki midomo wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji ulinziKuna siri nitakuja kuitoa hapa mtabaki midomo wazi
Uko sahihi mkuu. Na ndicho alichofanya Samia . Hajautukuza u Zanzibari wake..sikumbuki Nyerere kupanda jukwaani na kuzungumza Kizanaki na kutoa ujumbe mahsusi kwa Wazanaki wenzake.
..alichokuwa akifanya Nyerere ni kutolea mifano na vichekesho vya Kizanaki ktk mazungumzo yake. Na alikuwa akitafsiri kwa Kiswahili hapo hapo, on the spot.
..Nyerere alipozungumza Kizanaki aliwalenga watu wote, na alitoa tafsiri kwa Kiswahili.
Umkemee kwa lipi alilikosea?Huyo mama akemewe kwa nguvu zote aache umimi
Hata Nyerere alikuwa anasema yeye ni Mzanaki na Magufuli alikuwa anaongea mpaka Kisukuma kwwnye majukwaa. Sasa tatizo liko wapi yeye akisema ni Mzanzibar. Wewe lengo lako ni kumfitinisha rais na Watanzania bara tu.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
Acha kiherehereJF ongezeni moderators, inaweza kuwa ni ngumu kuwalipa ila pambaneni mpate wadhamini mpate fedha, Jukwaa lenu linashuka hadhi sana, sababu kubwa ni aina ya Mada zinazoanzishwa
Siku hizi Mlevi yeyote anaweza kuamka na kuja kumwaga pumba zake zinazomjia kichwani jukwaani.
Alichoongea Samia ni tofauti na alichoandika huyu jamaa, yeye kadokoa sentensi moja tu kaimwaga hapa, na wanaokomenti nao ni walewale tu
Mama plz usianzishe vita na wasukuma wale watu wametubeba sana CCM 2015 na 2020.
Kama ukumpenda mtangulizi wako usichukie na jamii yako yote. Lile kundi likisimama na wapinzani tutapata shida.
Threads zingine hazina hadhi ila unakuta umefungua tu, haina namna inabidi uisome.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani. Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Unapata wapi ujasiri wa kumkosoa ikiwa Maghufuli alikuwa yeye na Chato na kisukuma chake. Na hamkuhoji !!Haaa,kwa hiyo una record kwamba watu hawakuhoji,yaani kwa nini mnamtumia Magufuli kama standard,kwa hiyo kama Magu alikuwa anakosea basi na Samia naye akosee
Kwani kasema uongo ?!Ukweli kakosea kusema ni mzanzibar,Hiyo kitu haikibaliki kabisa .Yeye ni Mtanzania ndo Mana ni Rais wa Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anawagawa Wananchi kusema ni mzanzibar wakati ni Rais wa Tanzania ,hapo watu wataanza kuhoji kama ni mzanzibar basi aende akatawale kwao Zanzibar.Kwani kasema uongo ?!
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani. Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Ndiyo Utajua Kuwa Hujui
Serikali Yangu Hakuna Kubembelezana
Ngojeni Atakaye Kuja Ndiyo Atawabembeleza
By Jiwe
Anajichanganya Sana huyu maza
Anakuwa Kama bashite ambaye aliwakusanya waandishi wa habari kuwataarifu kwamba wawaelimishe wananchi waepuke mikusanyiko ili kujikinga na uviko
Waliosababisha nchi yetu kuitwa Tanganyika ni Wafipa kutokana na Ziwa Tanganyika. Na huko Katavi kuna wilaya inaitwa Tanganyika.Na sisi Wenyeji wa Tanga tulio sababisha kuzaliwa kwa jina la nchi yetu ya Tanganyika, tunaruhusiwa kutembea vifua mbele kama kuku walio nyonyolewa?
Angalia multiplier effect ya hao watu 10% kwenye jamii.Naona mama ana jaribu kuwajibu sana watu wa mitandao, mi nadhani ange wapotezea hawafiki hata 10% ya watanzania
HahahahahaKwakweli Mama Ridhiwani anazingua sana