KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Endeleeni kujiita WaTanzania😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wewe.Mama plz usianzishe vita na wasukuma wale watu wametubeba sana CCM 2015 na 2020.
Kama ukumpenda mtangulizi wako usichukie na jamii yako yote. Lile kundi likisimama na wapinzani tutapata shida.
Acha uongo.Tumeona mama akiwaondoa wazalendo wenye Phd na kuweka watu wenye kutiliwa mashaka na umma kama wajuzi wa kupiga hela ya umma. Tanesco wamewekwa wafanya biashara wakubwa kwenye bodi na waziri mpya kwa kazi gani? Huko nyuma tumeona wafanyabiashara binafsi wakifilisi mashirika ya umma kwa maslahi yao.
Sekta ya umma tangu lini imeonyesha mafanikio kwa kuwekwa wafanyabiashara kwenye management na body ya wakurugenzi? Kama inafanyika kwingine uzoefu kwa tanzania ni kwamba unawapa ulaji na kulifilisi shirika.
Kuhusu wizara ya nishati wengi tumeona ni upendeleo umetumika kwa lengo hasi kwa maslahi ya nchi. Aliyewekwa wala hana uwezo kama aliyeondolewa.
Hiyo ina husu vipi? Si yalikua maamuzi ya mwalimu? Ngoja nikuambie huku mitandaona kuna hata ghost people na wengi wana post hata hawa maanishi wanacho andika na wengine wetu ni walevi tuKwani wale waliopendekeza uwepo mfumo wa vyama vingi walikuwa wangapi ukilingganisha na wale waliokataa?
Yeye ni MTANZANIA, au alitaka Manisha hiviLakin ukweli utabaki kuwa ukwel tu yeye ni Mzanzibar hlo tunajua na halpngik na litabk kuwa hvyo. japo kama Rais hakutakiwa kusema hvyo[emoji120]
Hahaha, hilo linajulikana, Ila sukuma gang wengi walibebwa bebwa, sasa Mama afanyaje? Na ameshasema yeye anaangalia weledi wa mtu!! Sukuma gang pekee naweza sema JPM katuachia kama legacy yake ya kuteua ni Mabeyo, jamaa ni the best of the best..sukuma gang wanamtuhumu kuwachomoa ktk nafasi mbalimbali.
...yeye ni Mtanzania
Alipaswa aseme yeye ni Mtanzania...simple, very simple...Ulitaka aseme ni ngosha au mangi wa kibosho
Mama plz usianzishe vita na wasukuma wale watu wametubeba sana CCM 2015 na 2020.
Kama ukumpenda mtangulizi wako usichukie na jamii yako yote. Lile kundi likisimama na wapinzani tutapata shida.
Shida iko wapi hapo
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Kusema yeye ni Mzanzibari tayari ni ukabila au ukanda ni bora angesema mimi ni Mtanzania Visiwani/Zanzibari.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Angejitambulisha kwamba yeye ni Mkojani au Mnungwi isingekuwa na tatizo lolote. Ni sawa na ilivyokuwa haina tatizo kwa JPM alivyokuwa akijitambulisha kwamba alikuwa Msukuma. Pamoja na kwamba tulikuwa tunafahamu kwamba JPM alikuwa Mtanganyika, lakini ingeleta kero sana kama kwa siku yoyote angejitambulisha kwamba alikuwa Mtanganyika. Hata Samia kwa kujitambulisha kwamba yeye ni Mzanzibar kakosea na nadhani haina afya kwa taifa. Kujitambulisha kwa kutumia utaifa wetu wa zamani ambao kimsingi ulishakufa siyo vyema sana.Hata Nyerere alikuwa anasema yeye ni Mzanaki na Magufuli alikuwa anaongea mpaka Kisukuma kwwnye majukwaa. Sasa tatizo liko wapi yeye akisema ni Mzanzibar. Wewe lengo lako ni kumfitinisha rais na Watanzania bara tu.
Hana kabila, lakini ni mdini mzuri.Lakin ukweli utabaki kuwa ukwel tu yeye ni Mzanzibar hlo tunajua na halpngik na litabk kuwa hvyo. japo kama Rais hakutakiwa kusema hvyo[emoji120]