Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasema mnapotosha kwa sababu kipindi Dkt Magufuli yupo alizuia mfumuko wa bei. Na angekuwepo pasingekuwepo mfumuko wa bei.Tunampotoshaje wakati ndiyo hali halisi. Nyie kutwa kucha mnaangalia filamu za sultan tu hamtakuja kujua hali ya dunia inasemaje. More than 75% ya global economic news kwa sasa ni roaring life distress na surge pricing. Sikuwahi kuwa fans wa Mwigulu lakini so far amefanya kazi ya nzuri na anaendelea kufanya kazi nzuri hadi sasa.
Sema wewe unamtaka sio watanzaniaGTs,
Nina maoni:
Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu.
Sababu:
1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha.
2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili
3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na ana hofu ya Mungu hivyo atamshauri Mama kwa maslahi ya watanzania
4. Dkt Ashatu ana uzoefu wa kuongoza wizara ya Fedha na Mipango na ktk kipindi chake akiwa naibu waziri tulishuhudia uchumi ukiimalika.
5. Dkt Ashatu anauwezo mkubwa sana kiakili siyo tu darasani lakini pia ktk mahusiano na watu.
Naamini huu uzi Mama atausoma au wasaidizi wake wamfikishie. Watanzania tunamtaka Dkt Ashatu!
Nilikuwa nafikiri kateuliwa kumbe ni porojo za mwandishi.GTs,

Sijui kwanini watu ni degree holder lakini mnakuwa wajinga. Magufuli angezuia vita na kufanya normal supply ya bidhaa duniani? Magufuli kafungua mashamba mangapi ya ngano? Magufuli angechimba mafuta kule Chato? Hebu google neno moja tu fuel crisis uone dunia inaongea kitu gani kwa sasa. Na bahati mbaya, hii crisis ni zaidi ya ile ya 1973-74 ambapo crisis ilikuwa kwenye petrol tu lakini hii ya sasa ni energy kwa ujumla wake plus food. So, wacheni malalamiko.Tunasema mnapotosha kwa sababu kipindi Dkt Magufuli yupo alizuia mfumuko wa bei. Na angekuwepo pasingekuwepo mfumuko wa bei.
Umeona eeh,wameshajua mama huwa anapitapita humu kuchungulia comments...Amekutuma??? maana naona siku hz imeshakuwa style kila mtu akitaka uteuzi lazima amtume chawa wake aje kumuwekea andiko la kumpigia debe hapa.
Support hii unayosema aletwe sijui nani katika wizara ya fedha ili afanye kazi na Mpango ambaye yupo kwenye mazingira?Daudi Mchambuzi CCM ndiyo wanaongoza nchi, tuwale sapoti tu maana hakuna namna nyingine, usisite kutoa ushauri
Kwa hiyo na mapinduzi ya ufaransa na marekani ni ujamaa Ila we jamaa jua kutofautisha Kati ya mapinduzi na ujamaa mapinduzi yana weza kufanywa na watu wa aina yoyote ile wabepari au hata wajamaa . Mapinduzi hayana mahusiano na falsafa za kijamaa. Nimekwisha kuambia CCM sio chama Cha kijamaa wewe endelea kung'ang'aniza vitu . Ili tu matatizo ya CCM uutupie lawama ujamaa . Ujamaa katika ardhi ya Tanzania ulizikwa 1985 toka hapo mpaka Sasa ujamaa unao uzungumzia wewe haupo hapa .Ujamaa bado up sema wameupaka marashi usizidi kunuka.
Mapinduzi ni mbinu ya Ujamaa pia. Kama mapinduzi ya Urusi yaliyoandaliwa na Lenin na kuingiza Ukomunisti Urusi. Au mapinduzi ya Cuba yaliyoletwa na wakina Castro na Che Guevera yakaingiza Ukomunisti Cuba.
Daudi Mchambuzi naongelea kuhusu uthubutu wa Dkt Mpango enzi zile unaleta uhusiano fulani kiutendaji.Support hii unayosema aletwe sijui nani katika wizara ya fedha ili afanye kazi na Mpango ambaye yupo kwenye mazingira?
Taifa halina shida ya uhusiano kiutendaji, shida kubwa ya taifa hili ni hawa vibaka wenye suti wanaoitwa ccm.Daudi Mchambuzi naongelea kuhusu uthubutu wa Dkt Mpango enzi zile unaleta uhusiano fulani kiutendaji.
December 2015 Sukari Kilo moja ilikuwa Tsh 1,800/= then ika shoot hadi Tsh 5,000 na hadi anakufa nadhani haijawahi kuteremka chini ya Tsh 3,000.Tunasema mnapotosha kwa sababu kipindi Dkt Magufuli yupo alizuia mfumuko wa bei. Na angekuwepo pasingekuwepo mfumuko wa bei.
Unamfahamu vizuri au unabwabwaja tu, wizara aliyopo yenyewe imemshinda hajui hata anafanya nini, eti wizara ya Fedha? ur not serious! Kinachombeba ni dni yake km hujui.GTs,
Nina maoni:
Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu.
Sababu:
1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha.
2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili
3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na ana hofu ya Mungu hivyo atamshauri Mama kwa maslahi ya watanzania
4. Dkt Ashatu ana uzoefu wa kuongoza wizara ya Fedha na Mipango na ktk kipindi chake akiwa naibu waziri tulishuhudia uchumi ukiimalika.
5. Dkt Ashatu anauwezo mkubwa sana kiakili siyo tu darasani lakini pia ktk mahusiano na watu.
Naamini huu uzi Mama atausoma au wasaidizi wake wamfikishie. Watanzania tunamtaka Dkt Ashatu!
Huyo Dr. ameanzisha biashara gani na amefanikiwa kwa kiasi gani katika biashara zake?GTs,