Guselya Ngwandu
Member
- Sep 17, 2021
- 39
- 84
Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia
1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.
2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.
3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.
Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.