Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ya nchi yako tu huyajui utawezaje kuyajua ya nchi za mbali? Hujiulizi kama maccm yanafanya vizuri na yanapendwa sana na Watanzania kwanini yanahofia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi? Kwanini yanahofia uchaguzi HURU na wa HAKI? Kwanini kila uchaguzi ni lazima YAIBE kura Kwa mtutu wa bunduki na kupitia Tume FEKI ya uchaguzi? Kwanini wako madarakani miaka 60 lakini Watanzania hatuna cha kujivunia.
Ungekuwa unajiuliza haya maswali na kuyajibu sawa sawa basi usingeandika huu ujinga ujinga wako wa kuyakumbatia haya majizi, mafisadi na wauaji lakini kwa vile umeamua kuwa mchumia tumbo ili kutafuta TEUZI basi hayo yote umeyafumbia macho. Eti unayajua ya South Korea, Malaysia na Singapore lakini ya nchini kwako HUYAJUI!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]