Rais Samia mtu mkweli asiyeyumbishwa

Unataka NIREMBE ukiandika upumbavu? Ili iweje?
😳😳😳

Kumbe unaweza kukomenti bila ya matusi ya fedheha...🀣

Unaweza kukiweka hapa hicho kilichomuondoa Dr.Slaa CDM?!!

Mwenyekiti wako mh.Mbowe ataendelea kushangaza kwa ile "gia angani"....🀣
 
Unataka NIREMBE ukiandika upumbavu? Ili iweje?
😳😳😳
Mkuu umechagua matusi katika mijadala... sina haki ya kukubadilisha 🀣

Je unaweza kunieleza kilichomuondoa Dr.Slaa ?!!

Kwani ile "gia ya angani" haikuwa ya kitoto 🀣
 
''Government officials say that the Tony Blair Institute for Global Change has been hired by President Samia to handle two of her administration’s key projects: the fight against Covid-19 and rebuilding Tanzania’s international reputation.''

Rais SSH atwambie anamlipa kiasi gani kwa kazi anayofanya. Je, tenda hiyo ilitolewa kwa Tony Blair pekee? Kama ni hivyo vigezo gani vilitumika? Je, hasara ambayo Tony Blair alisababisha kwenye manunuzi ya Rada nani alilipa/analipa?
 
Ukiandika UPUMBAVU ni lazima uambiwe ukweli. Unasifia vipi chama kilichopo madarakani kwa miaka 60 nchi yenye utajiri mkubwa sana, mikopo na misaada ya trillions lakini haina cha kujivunia?
Unasifia vipi chama kilicho madarakani kwa miaka 60 na miaka ya nyuma Tanzania iliheshimiwa sana duniani kote na kulikuwa na mshikamano mkubwa sana wa raia lakini sasa Tanzania INADHARAULIKA duniani kote na mshikamano umepotea.
Mtu wa hivyo kama siyo mpumbavu, mpuuzi etc. Unataka tumuite nani? GENIUS!? Remember this is JF WHERE WE DARE TO TALK OPENLY.
😳😳😳

Mkuu umechagua matusi katika mijadala... sina haki ya kukubadilisha 🀣

Je unaweza kunieleza kilichomuondoa Dr.Slaa ?!!

Kwani ile "gia ya angani" haikuwa ya kitoto 🀣
 
Umeamua kusimamia unachokiamini ila si kweli kuwa miaka 60 ya Uhuru hatuna maendeleo......

Hivi pale JKCI panapofanyika upasuaji mkubwa wa moyo/kupandikiza mioyo chini ya Prof.Janabi si maendeleo ?!!!

Hivi hao wagonjwa wanaopandikizwa FIGO na UROTO wa mifupa si maendeleo makubwa hayo?!!! Khaaaa 😲🀣🀣
 
Unajua maendeleo wewe? Angalia nchi ambazo uchumi wako miaka ya 60 ulikuwa sawa na Tanzania South Korea, Malaysia, Singapore walivyotuacha mbali. Yale ni maendeleo.
Umeendelea wakati nchi haina ajira, mamilioni ya Watanzania hata mlo mmoja tu kwa siku hawajui watautoa wapi!!! Upatikanaji wa huduma muhimu maji umeme matibabu kwa Watanzania wengi ni shida kubwa sana. Mishahara ni midogo sana na Wafanyakazi wengi kote nchi wanalalamika kwamba mishahara haitoshi kutokana na gharama kubwa za maisha.
Nchi yenye maendeleo na bado ina upungufu mkubwa sana wa Walimu, Wahandisi. Wahasibu, Manesi, etc lakini inashindwa kuwapa ajira!!! Upungufu mkubwa wa madarasa, madawati, vitabu, vyoo na vifaa vingine muhimu mashuleni.
Kajifunze maana halisi ya neno MAENDELEO badala ya kuandika ujinga ujinga.

Swali tanzania tuna maabara ya level gani??
 
Mkuu BAK huwa unapenda sana kuniita mjinga na matusi kedekede....sasa wewe "mwerevu" unalinganisha HISTORIA YA UCHUMI ya KOREA KUSINI NA TANZANIA?!!! Khaaaa 😳🀣

Mwerevu huwajui CHAEBOLS wa Korea kusini?!! Duuuh 🀣🀣

Mwalimu Nyerere hakuujenga uchumi wa nchi chini ya watu wa aina hiyo .....
 
Bado unaonyesha jinsi ulivyo mpumbavu. Eti Tanzania nayo ina maendeleo!!! Bagonza wala hakukosea aliposema nchi hii ina Wapumbavu wengi sana pamoja na kuwa tuna idadi kubwa ya vyuo vikuu ukilinganisha na tulipokuwa na Chuo Kikuu kimoja.

Mkuu BAK umehamisha magoli tena ?!!! 🀣🀣

Mwerevu hujui mchango wa CHAEBOLS kwa uchumi wa Korea Kusini kufikia kutufananisha na sisi ?!!! Ha ha ha
 
Nasema hivi wewe ni mjinga!!! Nimezitaja nchi ngapi hapo? Au zote hizo kulikuwa na hao chaebols? Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.

Mwerevu umetaja nchi 3... nimekutolea mfano wa moja....je unakubali kuwa HUJUI historia ya uchumi wa Korea Kusini kabla ya mimi kuendelea na MALAYSIA NA SINGAPORE?!!!
 
Kama ya nchi yako tu huyajui utawezaje kuyajua ya nchi za mbali? Hujiulizi kama maccm yanafanya vizuri na yanapendwa sana na Watanzania kwanini yanahofia Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi? Kwanini yanahofia uchaguzi HURU na wa HAKI? Kwanini kila uchaguzi ni lazima YAIBE kura Kwa mtutu wa bunduki na kupitia Tume FEKI ya uchaguzi? Kwanini wako madarakani miaka 60 lakini Watanzania hatuna cha kujivunia.
Ungekuwa unajiuliza haya maswali na kuyajibu sawa sawa basi usingeandika huu ujinga ujinga wako wa kuyakumbatia haya majizi, mafisadi na wauaji lakini kwa vile umeamua kuwa mchumia tumbo ili kutafuta TEUZI basi hayo yote umeyafumbia macho. Eti unayajua ya South Korea, Malaysia na Singapore lakini ya nchini kwako HUYAJUI!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwerevu umetaja nchi 3... nimekutolea mfano wa moja....je unakubali kuwa HUJUI historia ya uchumi wa Korea Kusini kabla ya mimi kuendelea na MALAYSIA NA SINGAPORE?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…