Mkuu lazima tuwepo watu wa kuwaambia ukweli ni katika harakati za kuwasaidia. Wewe upeo wako wa kufikiri upo chini sana. Soma sana vitabu, hizi story za CORONA hazikusaidii zinakufanya uzidi kuwa fala zaidi. Tangu hiyo mnayodai Corona wave1,2 na Sasa 3 kelele zako za CORONA zimekufikisha wapi zaidi ya kuendelea kuonekana MPUMBAVU!??... Hujishtukii!?.. Je zikiendelea hadi Corona wave 9,10... Si utakuwa umeshachizika na kuokota makopo!??
So kumbe ulikua unaropoka tu bila content za maana,,nambie kauli thabiti wewe inakusaidia vipi kujikinga na corona,,?,hiyo kauli thabiti ikoje hasa,au unataka Rais aongee ongeaje hasa ndo we uone sasa imekidhi kuwa kauli thabiti?
Mkuu anaipenda sana Corona huyu jamaa. Kuna thread moja alijiapiza akipata mtoto atamwita CORONA. Nadhani tumsamehe bado anaishi kwa wazazi wake na pia akili zake hazipo sawa.
Leo unapewa za uso kila anayekuja kwenye thread yako, bado hujioni ulivyo MPUMBAVU!??.. Jitahidi kuwa bize sio kushinda kwa wazazi wako ukisubiri tamko jipya la Samia kuhusu COVID. Mnaboa sana watu mnaokula na kulala bure kwenu. Akili yenu inadumaa.

MODs natumaini mtaunusuru uzi huu kumwangazia mheshimiwa rais hali ilivyo, ili naye, aweze: 1. Kujinusuru mwenyewe kuweza kuendelea kuongoza kama kazi hiyo anaipenda. 2. Kuyanusuru maisha ya watu wake wasio na hatia kwa maana ndiyo kazi kuu tuliyompa kama rais wetu. 3. Kulinusuru taifa ili...
www.jamiiforums.com
Kikinuka hata mama akiwa hai hatabaki madarakani. Na watakao mnanga ni pamoja na hawa hawa wanaonanga juhudi hizi leo.
Leo unapewa za uso kila anayekuja kwenye thread yako, bado hujioni ulivyo MPUMBAVU!??.. Jitahidi kuwa bize sio kushinda kwa wazazi wako ukisubiri tamko jipya la Samia kuhusu COVID. Mnaboa sana watu mnaokula na kulala bure kwenu. Akili yenu inadumaa.
Mkuu ukiwa unaanzisha nyuzi zako za ki.senge kuhusu CORONA uwe unaangalia hata upepo wa wachangiaji ndo kichwa chako kitapata akili kidogo ile next time uanzishe uzi wa maana. Kwa style hii utachelewa hata kutoka kwenu kuanza kujitegemea.
Mkuu anaipenda sana Corona huyu jamaa. Kuna thread moja alijiapiza akipata mtoto atamwita CORONA. Nadhani tumsamehe bado anaishi kwa wazazi wake na pia akili zake hazipo sawa.
Ni kataahira haka mkuu!
.
Ndio shida ya hawa vijana wanaokaa kwa waume za dada zao! Akiweka bando lake la jero aliloiba alipotumwa kununua nyanya basi akija humu ni kuhara tu,
Akiambiwa lockdown anashangilia sana maana hajui kwamba kutoka kwa shemeji yake ndio kula yake.
Kuna muda alimpumzika na kuacha kupiga kelele za corona kwa sababu hazikuwa na kiki wakati huo, kile kipindi cha kampeni hadi uchaguzi mwaka jana hakuwahi kuleta uzi wa kuhusu corona yeye alikuwa anampamba Lissu tu na kushindanisha nyomi na Magufuli.
Kiiraq?,,tetea hoja yako basi,,kauli thabiti ndo kitu gani,mbona unakwepa?,unaanzisha topic huwezi kuitetea?..wewe ni hopeless,,an insult to the family you came from,,,too weak reasoning..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.