- Thread starter
- #81
Corona haipo, maisha huku yanaendelea hapa nimepishana na mwendokasi imeshona watu hatari hakuna Cha barakoa wala mavi ya barakoa
Mdogo mdogo tutafika tu:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona haipo, maisha huku yanaendelea hapa nimepishana na mwendokasi imeshona watu hatari hakuna Cha barakoa wala mavi ya barakoa
Kweli kabisa apige marufuku usafiri wa umma Kama Uganda,hakuna kufanya biashara yeyote,shule na vyuo vifungwe mpaka tutakapo pata taarifa ya wimbi la 3 limepita,maana hatujui likija litachukua miaka mingapi,likitokea jingine tufungie.
Heri tufe na njaa na watu wapoteze kazi na mishahara isimamishwe kwa sababu watu watakuwa wameacha kwenda kazini.ili tuwafurahishe watoa misaada rais aheshimiwe kimataifa.
Maana heshima hiyo ni ya maana kuliko maisha ya watanzani alioachiwa na Mwendazake.
Hiyo lazima ipo wapi? Maana nipo mbezi mwisho hapa watu wameshona kama kawaUfumbuzi wa tatizo hili si lazima unavyoona au unavyotaka wewe au awaye yote:
View attachment 1829310
Uwepo wa wataalamu wabobezi wanaomshauri mama ndiyo ngao yetu.
Kwa hakika wamedhamiria na tutavuka salama.
Kudos kwao.
Watu mnashangaza sana. Sijawahi ona mtu analilia kufungiwa ndani!!! Alafu akishafungiwa ndani ndo aanze kukosoa kuwa anakufa kwa njaa[emoji57][emoji57]
Hiyo lazima ipo wapi? Maana nipo mbezi mwisho hapa watu wameshona kama kawa
Kwani korona ipo hapa kwetu??? Mbona kama ilionfokaga toka mwezi March mwaka huu???
Vipi ulishwenda kuchukua v8 yako?Congratulations. U ve been appointed the head of COVID-21 MISSmanagement committee. Fika ofisini haraka kuchukua V8. 😎
Itakua ushamba unamsumbua huyu,,yaani anagonjea aambiee kujikinga na ugonjwa kama kuwa hawezi kujiongeza mwenyewe,,he is dumb ,too dumb
Itakua ushamba unamsumbua huyu,,yaani anagonjea aambiee kujikinga na ugonjwa kama kuwa hawezi kujiongeza mwenyewe,,he is dumb ,too dumb